CCM haitamfia Samia, ila ajae itamfia. Sababu kuu ni mbili tu, Mabadiliko ya kizazi na kukua kwa teknolojia ya upashanaji habari. Hata iweje, hakuna mbinu inayoweza zuia haya.sema ccm isipoanguka hapa kwa samia, nadhani itachukua miaka mingine mingi kidogo
naam uchochezi wote huanzia ccm, na baadae inaacha madhara makubwa,CCM haitamfia Samia, ila ajae itamfia. Sababu kuu ni mbili tu, Mabadiliko ya kizazi na kukua kwa teknolojia ya upashanaji habari. Hata iweje, hakuna mbinu inayoweza zuia haya.
60% ya kizazi cha sasa hakina connection yoyote na CCM, pili propaganda sasa zimekuwa ngumu sana kwa sababu ya urahisi wa uhuru wa habari.
Hebu fikiria issue ya lema, isingekuwa na social medias, CCM wangeikomalia na ingewatafuna vibaya sana. Ila leo unamtuhumu kaka yake lissu, baada ya dakika 5 tu anajitokeza na kukanusha. Katibu mkuu anakanusa same minute, nchi nzima imepata majibu, watu wanachuja na kujua pumba na mchele ni zipi.
Fikiria mazingira ambayo mahakama imezimwa, lakini watu wanajua walau nini kinaendelea mahakamani. Isingekuwa social medias watu wanagekuwa hata wamepoteza touch na Lissu. Imagine yote haya yanayotokea, yarudishe hadi 2010. Ndio maana dola ilifanikiwa sana kuvizima vyama kwa sababu ilikuwa inaweza kutunga propaganda na kufanikiwa sababu ilicontrol flow ya taarifa.
Nakumbuka enzi za CUF, mahita alijitokeza na kutoa tuhuma kuwa kuna kontena na visu limekamatwa la watu wa CUF, maskini, CUF hata kujitetea ilikuwa ngumu sababu habari wataipeleka wapi ikiwa medias zimetishwa? Mahita IGP alikuwa katili kweli. Watu kweli waliihofia CUF. Leo, vita ya propaganda inachezwa lakini inazimwa kwa urahisi. Enzi za nyuma wale waliokuwa wanapangwa kumtuhumu heche, wangeaminika, ila leo teknolojia inawezesha hata behind the scenes zivuje.
So, hii wave ya CCM naamini imefika mwisho. Bahati mbaya, hofu yangu inaisha kwa njia za vurugu. Maana CCM haifanyi siasa za ushwishi tena, bali zimefungamana na dola.
Time will tell, ila historia huacha patterns.
Cc: Pascal Mayalla
πππchizi wee nijitongozeshe kwako wee hapo? Aaah hapanaaa.Nije nikulambe hiyo puru!!π wewe shahawa za wanaume zimeshakuharibu unajitongozesha mchana kweupe! Mimi sio muumini wa huo uchafu Kafie mbele
Ndio tatizo la Wabongo hili. Duuh.Robert tangu juzi unapinga sana harakati za dudu baya tena kwa nguvu kubwa mno na unaungwa mkono sana na bichwa,coca and Others je na wewe ni Miongoni mwao? Mashoga munaanza kujitokeza mmoja mmoja kwa vilio tofauti. Nilikuwa nakuheshimu sana ila kama unanyonya ****** bsi kaka gudibai
Usiwasanue hawa waja, waache hivyo hivyo.
Unahisi watakuelewa? Tatizo ni ELIMU, na sababu kuu ni UJINGA.
Rejea comment yako Umeniomba nikulambe kinyeoπ nikakujibu mimi sio muumini wa huo uchafuπππchizi wee nijitongozeshe kwako wee hapo? Aaah hapanaaa.
Kumbe wanapambana na Lissu?Vipi Msimamo wa Tundu Lisu mmeusahau?
Na huu ndio ukweli. Watanzania ni species ya ajabu sana.Hakuna wa kuitoa CCM ktk nchi hii, acha kujidanganya bwashee, watakucheka wenzio.
Mbaki kubwata mitandaoni basi, hilo ndio mnaweza.
Maiti zinazotembea.Na huu ndio ukweli. Watanzania ni species ya ajabu sana.
Exactly, na ndivyo wafanyavyo wajanja !Watanzania ni viumbe wanaoweza kuchezewa akili kirahisi.
Huna akili, nilisema hivyo baada ya wee kusemaje? πππRejea comment yako Umeniomba nikulambe kinyeoπ nikakujibu mimi sio muumini wa huo uchafu
By Mzee Kenyatta words π€£π !Maiti zinazotembea.
Mnachotwa akili. πππ
πππBy Mzee Kenyatta words π€£π !
Hii vita inatuhusu sote Mkuu, tuungane kuipiganakwenye hii movement, kuna mbinu zozote za kuwakabili waingiliaji ?
vipi uthibiti wa movies/series kutoka magharibi/asia ?
public inavojiconduct kupita maeneo ya masoko/stendi/vijiwe ni kawaida sana watu wakikosana kukashifiana hivyo, mashule ya yaangaliwa? ,
mapambano yanalenga uhalisia?