Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #121
Kumbe wanapambana na Lissu?
Nilitegemea uunge mkono mapambano.
Wewe ni shoga shitholeHuna akili, nilisema hivyo baada ya wee kusemaje? 😂😂😂
Wamesahau hawa, na hawana wanalolijua.Hivi mnaishi wapi huko?
Kesi ya Lissu inafukiwa, Linda mgongo wako iko on trending bado hamuelewi?
Kipindi Dudubaya nakuja na konk konk master unakumbuka kulikuwa na ishu gani?
Woyooooooo!!! 😂😂Wewe ni shoga shithole
Hakuna wa kuitoa CCM ktk nchi hii, acha kujidanganya bwashee, watakucheka wenzio.
Mbaki kubwata mitandaoni basi, hilo ndio mnaweza.
Sasa Mpare kwa akili zenu hizo mnazo pelekeshwa na pretty issues, mnaweza kuiondoa CCM? Oct 29 kilichotokea ilitakiwa iwe alarm kwa kila mtu kupambania mambo ya msingi ktk taifa hili, lakini ona sasa mko buzzy na drama ya dudubaya na mmejaa ukiwemo wewe pia.CCM ipo madarakani kwa sababu ya mabavu, ubabe, kutumia majeshi nk. Kwa sasa hawana kete yoyote ya kuwaweka madarakani zaidi ya mabavu. Msiwafanye waonekane wajuvi wakati ni wajinga tu kama watanzania wengine wengi tu.
Toa kujimilikisha majeshi, niambie ccm inakipi inacho offer kwa sasa!
Sema tu nimechoka kuandika, sijui ni huu uzee. Ila kwenye hii hoja kuna arguments nyingi tu.Sasa Mpare kwa akili zenu hizo mnazo pelekeshwa na pretty issues, mnaweza kuiondoa CCM? Oct 29 kilichotokea ilitakiwa iwe alarm kwa kila mtu kupambania mambo ya msingi ktk taifa hili, lakini ona sasa mko buzzy na drama ya dudubaya na mmejaa ukiwemo wewe pia.
Halafu usingizie Majeshi na vyombo vingine vya ulinzi, kwani nchi zingine hakuna hayo majeshi? Hadi wananchi wanapambania na kupigania taifa lao? Useme tu ukweli wabongo ni wazuri kwenye kubwata na kupiga zumari mtandaoni, sio kufanya matendo.
Hakuna wa kuitoa CCM Madarakani ktk nchi hii.
Para ya mwisho ndio kete ambayo CCM huwa hutumia kumaliza missions zao.Sema tu nimechoka kuandika, sijui ni huu uzee. Ila kwenye hii hoja kuna arguments nyingi tu.
Fuatilia nchi nyingine wanafanyaje hadi kufikia kuondoa serikali zao madarakani, linganisha na hapa bongo.
Issue ya dudubaya ni moja ya mambo ambayo ni muhimu yakajadiliwa, serikali au nchi haiwezi kudeal na kitu kimoja tu, vyote vitaenda sawia kwa sababu mambo ni mengi. So kujadili issues tofauti na siasa ni kawaida, kuongelea ushoga na athari zake haififishi juhudi zingine za wadau.
Ni ngori!Rejea comment yako Umeniomba nikulambe kinyeo😂 nikakujibu mimi sio muumini wa huo uchafu
Mleta uzi anawaita watanzania wajinga wakati yeye ndo mjinga,,, yaani hata ule mwamko wa Oktoba anaona kawaida tu,, mpuuzi kweli,,, badala ya kuwashauri hao CCM kurekeKANU walikua wanaambiana hivi leo wako wapi? CCM hii kama ilivyo haivuki 2035 madarakani. Unless wabadilike, na bahati mbaya, CCM hii haiwezi jivua gamba tena. Gamba lake limeunganikana na nyama yake so, haviwezi tenganishwa.
CCP wameweza tawala miaka yote, sababu tu wamefanikiwa kuindeleza china kiuchumi, kijamii, kiteknolojia kwa kiwango kikubwa sana. Imewatoa watu wake 800 katika umasikini, zaidi ya 70%.
Kuna mawazo, nia na mipango mizuri sana lakini changamoto ni mfumo wa CCM umehodhiwa kiasi haiwezi telelezq hayo.
Generation change, huondoa tawala madarakani. Kama kilichotokea 2025 huoni kama ni redflag, basi subiri surprise.
Shem naomba muwaNi ngori!
Usijali bibie, muwa utaupata ngoja nije piem.Shem naomba muwa
Wahi shem lakeeUsijali bibie, muwa utaupata ngoja nije piem.
I'll be there soon shemu.Wahi shem lakee
muwa! Muwa kama muwa?Usijali bibie, muwa utaupata ngoja nije piem.