Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Hawa ndio viongozi wapendwa na wanaokubalika na kueleweka na wananchi. Wamebeba agenda zetuMbowe ndo alikuwa anafaa sana kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Nikiangalia naona hiki chama kwa sasa kinakuwa cha misimamo mikali.
Lissu na Heche hawa ni wabishi na hawataki kusikiliza ya wenzao. Wao wanataka kusimamia wanachomini tu. Wanasahau kuwa kuna wakati wanatakiwa kulegeza wanachikichia kitu wanaacha yaende.
Mbowe alikuwa anafaa sana kuendelea kuwa Mwenyekiti. Alikuwa anajua namna ya kuongea nasi na kufikia makubaliano. Hawa wawili wabishi hawataki kusikiliza na sisi CCM Tunataka nini.
Huku ni kumdhalilisha MBOWEMbowe alikuwa anafaa sana kuendelea kuwa Mwenyekiti. Alikuwa anajua namna ya kuongea nasi na kufikia makubaliano. Hawa wawili wabishi hawataki kusikiliza na sisi CCM Tunataka nini.
Hiki ulichosema ni kama umemaanisha kinyume chake. Lazima mtu akusome between the lines.Mbowe ndo alikuwa anafaa sana kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Nikiangalia naona hiki chama kwa sasa kinakuwa cha misimamo mikali.
Lissu na Heche hawa ni wabishi na hawataki kusikiliza ya wenzao. Wao wanataka kusimamia wanachomini tu. Wanasahau kuwa kuna wakati wanatakiwa kulegeza wanachikichia kitu wanaacha yaende.
Mbowe alikuwa anafaa sana kuendelea kuwa Mwenyekiti. Alikuwa anajua namna ya kuongea nasi na kufikia makubaliano. Hawa wawili wabishi hawataki kusikiliza na sisi CCM Tunataka nini.
Mbowe ndo alikuwa anafaa sana kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Nikiangalia naona hiki chama kwa sasa kinakuwa cha misimamo mikali.
Lissu na Heche hawa ni wabishi na hawataki kusikiliza ya wenzao. Wao wanataka kusimamia wanachomini tu. Wanasahau kuwa kuna wakati wanatakiwa kulegeza wanachikichia kitu wanaacha yaende.
Mbowe alikuwa anafaa sana kuendelea kuwa Mwenyekiti. Alikuwa anajua namna ya kuongea nasi na kufikia makubaliano. Hawa wawili wabishi hawataki kusikiliza na sisi CCM Tunataka nini.
Miaka 60 ya Uhuru, mambo ni yaleyale, barabara,shule, hospital! Tunataka tuende zaidi ya hapo,maji,umeme na mengineyo iwe historia!Madini tunayo,bahari, maeneo makubwa ya kulima Bado tunalima na Jembe la Mkono,ubunifu hakuna!Mbowe ndo alikuwa anafaa sana kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Nikiangalia naona hiki chama kwa sasa kinakuwa cha misimamo mikali.
Lissu na Heche hawa ni wabishi na hawataki kusikiliza ya wenzao. Wao wanataka kusimamia wanachomini tu. Wanasahau kuwa kuna wakati wanatakiwa kulegeza wanachikichia kitu wanaacha yaende.
Mbowe alikuwa anafaa sana kuendelea kuwa Mwenyekiti. Alikuwa anajua namna ya kuongea nasi na kufikia makubaliano. Hawa wawili wabishi hawataki kusikiliza na sisi CCM Tunataka nini.
Walikuwa wanataka atoke Mbowe halafu aingie Mbowe mwingine!Wazee mnakumbuka kipindi kile CCM wanalalamika kwanini Mbowe haachii madaraka awapishe wengine?
Nyie machawa wakati wakati wa Mbowe mlipiga sana kelele Mbowe hafai na amefanya chadema kama mali yake mkataka apishe aje kiongozi mwingine, leo mnaisoma namba na bado
Mlipomkata na kumfungulia Mashtaka lengo lilikuwa ni nini?Mbowe mwishoni alikuwa kiongozi mzuri na mwenye busara. Hasa baada ya kutoka Jela.
Nilishangaa CCM wanalalamika eti Mbowe ndio alikuwa Mpinzani wa kweli. Wakati walimwita mkabila na gaidi. Ila CCM wanafiki sana Zaidi ya shetaniMbowe ndo alikuwa anafaa sana kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Nikiangalia naona hiki chama kwa sasa kinakuwa cha misimamo mikali.