Hebu expose na visa vilivyowaondoa serikalini na baadhi bungeni wafuatao:Kibibi kiuaji hakitaki kusikia haki, Kama simbachawene aliyesema polisi wafuate utaratibu kesho yake akapoteza uwaziri, huyu kosa lake ni kuongelea katiba, Ndugai kosa lake ni kusema tie makini na mikopo, cha ajabu maboya ya CCM yanatumika kufukuza wenzao kwa jina la maadili,kwa sababu yote yameingia kwa wizi wa kura sasa hayana sauti or any principle to stand for, nchi inaongozwa na wahuni watupu
I wish ningekuwa najua, lakini nafikiri kibibi hakiwezi kuchukua mawazo mbadalaHebu expose na visa vilivyowaondoa serikalini na baadhi bungeni wafuatao:
1. Biteko
2.Tulia
3.Bashe
4.Makamba
5. Nape
6. Jerry Slaa
7.Ummy
8. Byabato
Maana siku hizi hakuna tena investigation Journalism.
Yaani Mange kimambe ndio amekuwa major reference.
😂😂😂Hakuna kosa lolote alilolifanya. mmekengeuka na diyo maana mnaua watu, kuteka, kupoteza na ukatili ulikithirika mipaka ya ubinadamu.
Kwa nguvu, utumishi alioufanya akiwa CCM, watu wenye hofu ya Mungu msingelifika kumfukuza uanachama. CCM ipo hapo kwa contribution kubwa ya Nchimbi. Kama alikose, which is not at all, hakustahili adhabu ya kufukuzwa.
Basi na nyinyi Mungu atawakuza, HOW time will tell Mungu atawafukuza vipi!
Hakuna kosa lolote alilolifanya. mmekengeuka na diyo maana mnaua watu, kuteka, kupoteza na ukatili ulikithirika mipaka ya ubinadamu.
Kwa nguvu, utumishi alioufanya akiwa CCM, watu wenye hofu ya Mungu msingelifika kumfukuza uanachama. CCM ipo hapo kwa contribution kubwa ya Nchimbi. Kama alikose, which is not at all, hakustahili adhabu ya kufukuzwa.
Basi na nyinyi Mungu atawakuza, HOW time will tell Mungu atawafukuza vipi!
Hivi Nchimbi amefanya makosa gani hasa ambayo wameyatafsiri kama amekiuka maadili na kukosa nidhamu?Hakuna kosa lolote alilolifanya. mmekengeuka na diyo maana mnaua watu, kuteka, kupoteza na ukatili ulikithirika mipaka ya ubinadamu.
Kwa nguvu, utumishi alioufanya akiwa CCM, watu wenye hofu ya Mungu msingelifika kumfukuza uanachama. CCM ipo hapo kwa contribution kubwa ya Nchimbi. Kama alikose, which is not at all, hakustahili adhabu ya kufukuzwa.
Basi na nyinyi Mungu atawakuza, HOW time will tell Mungu atawafukuza vipi!
You sound very very desparate. Pole sana. Kutokana na michango yako hapa nilidhani unaifahamu CCM na hasa huu utawala wa Samia! Hivi wa kilichotokea 29/10, ni jambo gani tena linakufanya uchanganyikiwe namna hii eti mpaka kuwakumbusha mambo ya Mungu? Kumbe wengi hamjui hali halisi ya Tanzania ilipo ndiyo maana watawala wanawageuza kama chapati.Hakuna kosa lolote alilolifanya. mmekengeuka na diyo maana mnaua watu, kuteka, kupoteza na ukatili ulikithirika mipaka ya ubinadamu.
Kwa nguvu, utumishi alioufanya akiwa CCM, watu wenye hofu ya Mungu msingelifika kumfukuza uanachama. CCM ipo hapo kwa contribution kubwa ya Nchimbi. Kama alikose, which is not at all, hakustahili adhabu ya kufukuzwa.
Basi na nyinyi Mungu atawakuza, HOW time will tell Mungu atawafukuza vipi!
Bibi ni tatizo hata kwenye familia yakeHivi Nchimbi amefanya makosa gani hasa ambayo wameyatafsiri kama amekiuka maadili na kukosa nidhamu?
Amewahimiza watanganyika kudai katiba mpya!Hivi Nchimbi amefanya makosa gani hasa ambayo wameyatafsiri kama amekiuka maadili na kukosa nidhamu?
Ccm ukiwaambia Mungu anawaona hawafurahi,ila ukiwaambia Shetani anawaona wanafurahi na kuchekelea kanisa.Hakuna kosa lolote alilolifanya. mmekengeuka na diyo maana mnaua watu, kuteka, kupoteza na ukatili ulikithirika mipaka ya ubinadamu.
Kwa nguvu, utumishi alioufanya akiwa CCM, watu wenye hofu ya Mungu msingelifika kumfukuza uanachama. CCM ipo hapo kwa contribution kubwa ya Nchimbi. Kama alikose, which is not at all, hakustahili adhabu ya kufukuzwa.
Basi na nyinyi Mungu atawafukuza, HOW? time will tell Mungu atawafukuza vipi!
Mwanzo 4:3 -7aAmewahimiza watanganyika kudai katiba mpya!
Huu sasa ndiyo mwisho wa CCM. Ndiyo maana tunadai haraka kuruhusiwa mgombea huru katika nchi hii kabla ya mchakato wa katiba mpya. Unafiki wetu watanzania ni wa kiwango cha juu sana, kila mtu anaangalia tumbo lake.Hakuna kosa lolote alilolifanya. mmekengeuka na diyo maana mnaua watu, kuteka, kupoteza na ukatili ulikithirika mipaka ya ubinadamu.
Kwa nguvu, utumishi alioufanya akiwa CCM, watu wenye hofu ya Mungu msingelifika kumfukuza uanachama. CCM ipo hapo kwa contribution kubwa ya Nchimbi. Kama alikose, which is not at all, hakustahili adhabu ya kufukuzwa.
Basi na nyinyi Mungu atawafukuza, HOW? time will tell Mungu atawafukuza vipi!
Mkuu, Nenda taratibu. Mapambano si lazima yatoke nje. Lazima adui apigwe hata ndani ili mfanikiwe. Vuta subra, CCM ndiyo mwisho wake unaanzia hapaMnamtetea wanini? 😂
Kama yeye muadilifu alitakuwa ajiuzulu baada ya 29 october, kama hakufanya hivyo, wacha waendelee kupimana uwezo, wauaji takataka.
Hivi Nchimbi amefanya makosa gani hasa ambayo wameyatafsiri kama amekiuka maadili na kukosa nidhamu?