StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Kabisa!Kutegemea ccm wawe na hofu ya Mungu ni matumizi mabaya ya imani.
Kabisa!Kutegemea ccm wawe na hofu ya Mungu ni matumizi mabaya ya imani.
Wanataka kuonyesha nguvu ya chama!Hakuna kosa lolote alilolifanya. mmekengeuka na diyo maana mnaua watu, kuteka, kupoteza na ukatili ulikithirika mipaka ya ubinadamu.
Kwa nguvu, utumishi alioufanya akiwa CCM, watu wenye hofu ya Mungu msingelifika kumfukuza uanachama. CCM ipo hapo kwa contribution kubwa ya Nchimbi. Kama alikose, which is not at all, hakustahili adhabu ya kufukuzwa.
Basi na nyinyi Mungu atawafukuza, HOW? time will tell Mungu atawafukuza vipi!
alimtembelea Karumekuna mlolongo wa ziara za Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa viongozi wakuu wastaafu katika miezi ya karibuni, na baadhi yake zilikuwa karibu sana na kujiuzulu kwake. Lakini ni muhimu kutenganisha kilichothibitishwa na tafsiri ya kisiasa.
Mlolongo wa matukio
4 Julai 2026: Nchimbi alimtembelea Jaji Joseph Sinde Warioba, aliyewahi kuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, nyumbani kwake Mbezi Juu.
10 Agosti 2026: Nchimbi alimtembelea Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete nyumbani kwake Kawe, Dar es Salaam. Ziara hii ilitangazwa kama kumjulia hali Kikwete.
13 Agosti 2026: Nchimbi alimjulia hali...
- Mshana Jr
![]()
- ziara
- Replies: 20
- Forum: Jukwaa la Siasa
K za Siku hizi zina masharti Kibao!😹😹 Siku hilo lichama lenu likiwa upinzani nitakupa 🆓
😹😹😹K za Siku hizi zina masharti Kibao!