Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Kisha nyang'anywa diplomatic passport yake na simu zake zote. Hapatikani hewani na hajulikani alipoHakuna kosa lolote alilolifanya. mmekengeuka na diyo maana mnaua watu, kuteka, kupoteza na ukatili ulikithirika mipaka ya ubinadamu. Kwa nguvu, utumishi alioufanya akiwa CCM, watu wenye hofu ya Mungu msingelifika kumfukuza uanachama. CCM ipo hapo kwa contribution kubwa ya Nchimbi. Kama alikose, which is not at all, hakustahili adhabu ya kufukuzwa. Basi na nyinyi Mungu atawafukuza, HOW? time will tell Mungu atawafukuza vipi!