CCM, Hii siyo sawa. Pamoja na yote , msingelimfutia uanachama nchimbi. Mungu anawaona

Kisha nyang'anywa diplomatic passport yake na simu zake zote. Hapatikani hewani na hajulikani alipo
 

Wee Shemeji vipi umekutwa na nini? Wee si ni CCM lia lia wee?
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ namuuliza dada kwani kulikoni.
 
Ikitokea mama amecollapse, nchimbi atarudishiwa uanachama wake refer to magufuli and membe case
 
We unaamini ni maamuzi ya wanaccm?
 
Wee Shemeji vipi umekutwa na nini? Wee si ni CCM lia lia wee?
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ namuuliza dada kwani kulikoni.
Lamomy alinipa sharti la kuikana CCM! Siku atakayonibwaga narudi CCM ambayo itakuwa ni chama cha upinzani wakati huo
 
Haa haa yuda eskariote
 
Ana roho mbaya sijawahi ona ameona E akiwa mwanachama anafaidi so wanae na ndugu zake ndio wanachama bora ila nchimbi ndio mbaya.Hicho chama umekikuta na utakiacha Magufuli alikuwa zaidi yako ila yuko wapi?
 

Ni series ile ile, kila anaehoji au kukosoa hata kwa nia njema anaonekana adui
 
Wange muuwa kabisaa.wameuwawa kina soka kina mdude kina polepole ben sanane Baba yangu Alikibao nk je hao aliwahi hata mara moja kusema neno nibora angekua alisema neno juu ya hao ndo akafukuzwa angalau tungesema kitu.lakin kwakua alikaa kimya basi nasisi tukae kimya limpatalo limpate
 
Mnamtetea wanini? ๐Ÿ˜‚

Kama yeye muadilifu alitakuwa ajiuzulu baada ya 29 october, kama hakufanya hivyo, wacha waendelee kupimana uwezo, wauaji takataka.
Watanzania wengi ni wafuasi wa ccm ila huwa wanabadili misimamo yao kulingana na aliyeko madarakani tu.

Wapumbavu wengi sana hii nchi wanamuona jamaa ni HERO wakati ni mnufaika wa Oct 29 mpaka atakatwaliwa na bwana.
 
Ajabu waliomfuta uanachama ni watu wa kuja hata chama hawakijui, Nchimbi alianzia chipukizi akaja umoja wa vijana na hadi kuwa kamati kuu sasa hawa ambao wameingia CM baada ya kupata nyadhifa leo ndio wanajifanya ndio watakatifu na wenye chama, ila Mungu ana makusudi yake wacha wabaki na hivyo vibabu na vibibi, CCM ya wananchi haipo kwa sasa CCM imekuwa genge la wapwani.
 
Hivi wamesema sababu ya kumfukuza ni nini?
 
Lamomy alinipa sharti la kuikana CCM! Siku atakayonibwaga narudi CCM ambayo itakuwa ni chama cha upinzani wakati huo
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Siku hilo lichama lenu likiwa upinzani nitakupa ๐Ÿ†“
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ