Hujamckiza vizur au chuki zako ximekufanya uwe kiziwimimi hapo zamani nilikua namkubali lisu.ila kwa sasa haelewel elewek.Anasema anatoa kodi.hivi kwa akilonya kawaida nchi gani hailipi tax payer.marekan lwenyewe ni tax mpaka lwekena lwake.
vyama tawala vemeji reform na kuweka sera na mikakati usifikiri wewe peke yako ndio una uwezo wa kufikiria
Si tu kwamba hauziki bali pia hawezi hata kujinadi , ni sifuri kabisa ! amezungukwa na viongozi duni sana kichwani akiwemo polepoleTuliwaambia ccm mgombea wao hauziki hawakusikia wakaprint fomu moja pekee
True Ni mweupe Sana kwenye reasoning amejifichia kwenye ukali kuficha weakness yakeSi tu kwamba hauziki bali pia hawezi hata kujinadi , ni sifuri kabisa ! amezungukwa na viongozi duni sana kichwani akiwemo polepole
safari hii anang'oka bila hurumaTrue Ni mweupe Sana kwenye reasoning amejifichia kwenye ukali kuficha weakness yake
Ni vema lakini chama kilichozoea kubebwa na dola kikitoka madarakani mara nyingi huwa vinaanguka na kipotea kabisaMi furaha yangu CCM iwe chama pinzani Tanzania kwa miaka 5 tu inatosha
Tegemeo lake ni Askari ambao nao Wana hasira mbaya ajawaongezea mishahara wanamsubiria awashe motosafari hii anang'oka bila huruma
Hivi kweli unaona Chadema inaweza kushinda uchaguzi 2020!!?? Utakuwa una matatizo kwenye akili yako si bure!
Hakuna haja ya kuiba kura! Watz wanampenda Rais Magufuli kuliko unavyofikiria.
alibebwa hakutaka kusimama lilikuwa toto tunduAlikuwa akibebwa na mzee wa lupaso Safari mambo magumu, ngoja tuone atakavochomoka
we nae umengangana kikao kikao utafikir ulikwenda huko dodoma kusikiliza.Kama wanaelekezwa jinsi ya kukamilisha miradi iliyo katika hatua mbalimbali za utekelezaji?
Kwao wapi? Huyo ni ngosha na sisi akina ngosha huwa hatutishwi na mtu kwa taarifa yako!
Tayari chali Hadi muda huuDua a kuku halimpati mwewe.
Keep on dreaming.Tayari chali Hadi muda huu
Angalau unafahamu kwamba ni Mzinza, sio ajabu umetawaliwa na ukabila. No wonder Saccos is your number one choice.Magu sio msukuma yeye ni mzinza bali anatembelea nyota ya wasukuma. Hamna msukuma mwenye roho ya kimasikini hivyo.
Wewe unampenda sio watanzania wote kwa kipi kumfanya apendwe?sema wewe sio watanzania,wasingemzomea bukoba,umeona musoma mjini?hakuna kondeboy Wala Domo kaya.Hakuna haja ya kuiba kura! Watz wanampenda Rais Magufuli kuliko unavyofikiria.
Ajawahi shinda chochote bila kubebwaalibebwa hakutaka kusimama lilikuwa toto tundu
Bila shaka hukumuelewa Lissu alivyosema juu ya Kodi.mimi hapo zamani nilikua namkubali lisu.ila kwa sasa haelewel elewek.Anasema anatoa kodi.hivi kwa akilonya kawaida nchi gani hailipi tax payer.marekan lwenyewe ni tax mpaka lwekena lwake.
vyama tawala vemeji reform na kuweka sera na mikakati usifikiri wewe peke yako ndio una uwezo wa kufikiria
Angalau unafahamu kwamba ni Mzinza, sio ajabu umetawaliwa na ukabila. No wonder Saccos is your number one choice.