Uchaguzi 2020 CCM ikianguka, kitachofuata ni Magufuli na timu yake kutakiwa kujiuzulu nafasi zao ndani ya CCM

Uchaguzi 2020 CCM ikianguka, kitachofuata ni Magufuli na timu yake kutakiwa kujiuzulu nafasi zao ndani ya CCM

mimi hapo zamani nilikua namkubali lisu.ila kwa sasa haelewel elewek.Anasema anatoa kodi.hivi kwa akilonya kawaida nchi gani hailipi tax payer.marekan lwenyewe ni tax mpaka lwekena lwake.
vyama tawala vemeji reform na kuweka sera na mikakati usifikiri wewe peke yako ndio una uwezo wa kufikiria
Hujamckiza vizur au chuki zako ximekufanya uwe kiziwi
 
Hivi kweli unaona Chadema inaweza kushinda uchaguzi 2020!!?? Utakuwa una matatizo kwenye akili yako si bure!

Mwanzoni ilikuwa upinzani umekufa, na Magufuli atapita akipungia tu. Ila sasa hivi kapanick, anaongea kisukuma kinyume cha sheria za uchaguzi, anashurutisha wapiga kura waipigie ccm. Imefikia mahali inabidi chopa itumike maana anao muda ni mchache. Muda ni muamuzi mzuri.
 
Hakuna haja ya kuiba kura! Watz wanampenda Rais Magufuli kuliko unavyofikiria.

Wananchi wanampenda au wanahofia kutekwa? Ingekuwa toka ameingia madarakani amewahi kuheshimu box la kura ungekuwa na kipimo cha kukubalika kwake, lakini toka aingie madarakani chaguzi zote zimekuwa zikinajisiwa.
 
Wewe Gestapo, safari mukishindwa, yako ni mawili tuu.

Kubadili chama au kujinyonga
 
Magu sio msukuma yeye ni mzinza bali anatembelea nyota ya wasukuma. Hamna msukuma mwenye roho ya kimasikini hivyo.
Angalau unafahamu kwamba ni Mzinza, sio ajabu umetawaliwa na ukabila. No wonder Saccos is your number one choice.
 
Hakuna haja ya kuiba kura! Watz wanampenda Rais Magufuli kuliko unavyofikiria.
Wewe unampenda sio watanzania wote kwa kipi kumfanya apendwe?sema wewe sio watanzania,wasingemzomea bukoba,umeona musoma mjini?hakuna kondeboy Wala Domo kaya.
 
mimi hapo zamani nilikua namkubali lisu.ila kwa sasa haelewel elewek.Anasema anatoa kodi.hivi kwa akilonya kawaida nchi gani hailipi tax payer.marekan lwenyewe ni tax mpaka lwekena lwake.
vyama tawala vemeji reform na kuweka sera na mikakati usifikiri wewe peke yako ndio una uwezo wa kufikiria
Bila shaka hukumuelewa Lissu alivyosema juu ya Kodi.
 
Back
Top Bottom