Uchaguzi 2020 CCM ikianguka, kitachofuata ni Magufuli na timu yake kutakiwa kujiuzulu nafasi zao ndani ya CCM

we nae umengangana kikao kikao utafikir ulikwenda huko dodoma kusikiliza.Kama wanaelekezwa jinsi ya kukamilisha miradi iliyo katika hatua mbalimbali za utekelezaji?
Acha kujitekenya mkuu
Kwa akili zako za kijani Kuna mwana Mataga anayewaza kukamilisha miradi muda huu ???
 
Kweli mmeishiwa hoja kwahiyo kuongea lugha ya nyumbani ni kuvunja sheria ya uchaguzi ???
 
Mi nauliza tu kama kuna MAKOPO YOYOTE MITAANI NA MAJALALANI kwa maana yataokotwa yote MWAKA HUU!
 
Kweli mmeishiwa hoja kwahiyo kuongea lugha ya nyumbani ni kuvunja sheria ya uchaguzi ???
Wewe kwa akili yako tu ya kawaida, lini uliwahi kumuona Mgombea toka chama tawala akiwaita Wasimamizi/Wakurugenzi kipindi cha kampeni?? Hii inaashiria nn kwa akili yako?? Mgombea yupi uliwahi msikia akijinadi kwa kilugha zaidi yake Jiwe??

Nasikia anampango wa kuwaita Viongozi wa Dini pamoja na Wakuu wa Vyombo vya Usalama (ni tetesi sina uhakika). Kama ikitokea hivyo maana yake ni nn ktk kipindi hiki??
 
Hahaha....hongera kwa kujaribu kuwaza ila huyo mgombea wenui hana jipya zaid ya kueneza majungu badala ya kutoa Sera zenye mashiko na aeleze aliyoyafanya wakati ni mbunge aweze kushawishi umma.
Sera hujazisikia au unaongea unafiki tu?
 
CCM haitaanguka

Jiwe Jana na leo walikuwa na kikao na Wakurugenzi nchi Nzima..lengo Ni kuiba Kura na kuhujumu uchaguzi.

Ndio maana hakufuata ratiba ya Kampeni Iringa
Acheni upuuzi..we ni nani tusimamie maneno yako ya kijinga,wanachi hawa wanaona jinsi JPM alichofanya hapa nchini,wananchi hawa wanajua jinsi JPM alipokua ktk nafasi ya uwaziri alifany nini kwa miaka 20 hapa nchini, mtatudanganya nini tusichokijua? Kuna waziri aliwahi kufanya kwa viwango vya kumshinda JPM?

Acheni upuuzi wenu
 
Vp kuhusu yule Mgombea aliyewaita Wasimizi/Wakurugenzi wakati huu wa kampeni ndiye mwenye sera? Ni dalili tosha kuwa ni anguko kuu la ccm. Mwenye macho haambiwi tizama.
Uwezo wako wakujua mambo ya nchi ni mdogo sana!
 
Tunaitaka CCM yetu ya amani na haki...hawa waondoke tu !! CCM ya kina Mzee Warioba na Butiku!!
 
Mimi ni Mtz SIMPENDI Jiwe na chama chake labda wewe.
Sasa wewe si unajulikana ulizoea wizi na ujambazi sasa umedhibitiwa unafikiri utampenda Rais Magufuli?!! Nakushauri uache ujambazi utauwawa bure na kwa taarifa yako Rais Magufuli anamiaka mitano tena hivyo jiandae kisaikorojia usije ukafa ya stress!
 
Kweli mmeishiwa hoja kwahiyo kuongea lugha ya nyumbani ni kuvunja sheria ya uchaguzi ???

Sheria za uchaguzi haziruhusu kutumia kilugha nje ya kiswahili. Inaonekana hujui hata sheria za uchaguzi zinasema nini kwenye matumizi vya lugha, ndio maana umekuja na maelezo haya.
 

Haa ha ha ha ha Nilikuwa naamini siku zote watu huota wakilala kumbe wengine wanaota wakiwa wanatembea.... INERTIA.

CCM ni Tanzania na Tanzania ni CCM. Hakuna mabadiliko ila nyinyi mdio mtabadilika. . . . .passiveness.

Poleni sana wapinzani, na maumivu mtakuwa nayo kwa muda mrefu sana, you are unable to trust the evidence of your eyes.
 
Sheria za uchaguzi haziruhusu kutumia kilugha nje ya kiswahili. Inaonekana hujui hata sheria za uchaguzi zinasema nini kwenye matumizi vya lugha, ndio maana umekuja na maelezo haya.

Dictator wa JF mwenye mawazo mgando hujambo ?. Kwa mazoea ya kukataa kila kitu hata ukipewa hela , kwa kuwa ni kawaida yako basi utazikataa.
 
CCM wakishinda uchaguzi huu, wapinzani wasikubali tena kufanya uchaguzi mwingine wowote kwa kutumia Tume hii. Ni bora maumivu ya muda mrefu kuliko kuthamini Ruzuku huku ukilia kwamba unaibiwa.

Tume inapaswa kuvunjwa na kuundwa upya kabisa, viongozi wa Tume wasiteuliwe na Rais, Tume iwe na bajeti yake clear kabisa, kuwe na wafanyakazi dedicated kila kata na DED asisogee hapo. Matokeo ya Urais yaweze kupingwa mahakamani etc etc
 

Tegemea ccm kua madarakani mpaka 2100: ukiweza kuwepo mpaka huu mda ndo utashuhudia anguko la ccm, na alishasema polepole mwenyewe ccm ipo madarakani mpaka 2100,
 

CCM wamekwisha shinda, Baba mwenye nyumba unamchagulia kipande cha nyama kwenye bakuli? Anachukua anachokitaka mwenye kukosa anaenda kwa mama yake kama imebaki.

NYINYI UPINZANI ENDELEENI KUPINGA NDIO MNACHOTAKIWA KUFANYA NA SIO KUHUSISHWA KWENYE SERIKALI. LABDA LABDA SERIKALI ZA MITAA NA INAWATOSHA.
 
hahahaaaaaa . . ngoja nicheke tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…