Uchaguzi 2020 CCM ikianguka, kitachofuata ni Magufuli na timu yake kutakiwa kujiuzulu nafasi zao ndani ya CCM

[emoji706]
 
Kama Kama huelewi uwe unauliza kuku wewe hivi unawadogozako kweli ambao labda wanahitaji ushauri wako 🤔🤔🤣🤣🤣🤣😡
 
CCM ikishindwa uchaguzi itameguka vipande vipande.

Wengi wataenda kwa Membe huko CCM-B, ambaye ametangulia kuwatandikia vitanda.
 
CCM haitaanguka

Jiwe Jana na leo walikuwa na kikao na Wakurugenzi nchi Nzima..lengo Ni kuiba Kura na kuhujumu uchaguzi.

Ndio maana hakufuata ratiba ya Kampeni Iringa
Wataozea the Hague this time,kila kitu kinafatiliwa
 
umeamua kuweka akili mfukoni
 
umeamua kuweka akili mfukoni

piga mahesabu ya kura mlizopata 2015. alafu angalia hii video then niambie mnatoka na ngap mwaka huu kama sio <20%

hio less than <20% nmetoa kutokana na maelezo yake lakini nkiangalia mwamko wa wananchi kupiga kura 2015 na support waliowapa wapinzani then nkiangalia na apa kwenye twitter peke yake inatoa picha ya kutosha kinachoenda kutokea mwaka huu
 
eti the best faculties of this land belongs to ccm. Who told you ? Na hata kama ni kweli, wengi si wanakuja kwa sababu ya njaa tu ?????
 
Naiona CCM asilia ikirudi dimbani...ya wazee kama kina Butiku na Warioba....washauri kina Prof Shivj..
 
diplomasia sio sheria, i.e kama mahusiano hayana beneficiary hayana umuhimu kuwepo, saudi arabia, cuba, china, afganistan and russia hawana central bank kama BOT , hawahifadhi hata dola
Dogo acha uwongo, na ndio maana MATAGA hamna jipya. Nani kakuambia Saudi Arabia hawana central bank ? Saudi Arabia Monetary Authority (SAMA) ni nini ? Shida yenu mnakariri na wavivu tu wa kufikiri ndio maana mnadanganya hata vilivyo wazi. Peolple's Bank of China (PBOC) ni nini ? Sio central bank ile ? Shenzi kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…