Uchaguzi 2020 CCM ikianguka, kitachofuata ni Magufuli na timu yake kutakiwa kujiuzulu nafasi zao ndani ya CCM

Uchaguzi 2020 CCM ikianguka, kitachofuata ni Magufuli na timu yake kutakiwa kujiuzulu nafasi zao ndani ya CCM

ndo maana nkasema mwanzoni, wewe ni shangazi yake lissu! u will never understand economics,
1) kwenye uchumi wowote lazima kue na watu ambao maisha kwao ni magumu, na sio tatizo its slogan ya dunia ilivo,
2) umaskini sio sera, umaskini upo ndan ya mtu mwneyewe, unaweza zaliwa kama mkimbizi na ukatoka kimaisha, mf. ZIMBABWE hawana hata pesa ya nchi kwa sababu ilishakufa thamani , but wana bilionea kwenye list ya matajiri dunia, as i said before kuelewa economics hutaweza
3) serikali kazi yake ni kuweka sera tu, 99% depends on you! unaweza ukawa unaisha tanzania lakini unafanya kazi nje ya nchi na unalipwa nje ya nchi
4) hakuna mtu anakomolewa kwa sababu mm nko tanzania na nafanya biznez zangu na maisha yapo poa kabisa, sina cheo chochote na sjawhi fanya siasa na sjawahi ajiriwa na hata shule skumaliza
5) diplomasia sio sheria, i.e kama mahusiano hayana beneficiary hayana umuhimu kuwepo, saudi arabia, cuba, china, afganistan and russia hawana central bank kama BOT , hawahifadhi hata dola infact china wameshachoma majengo ya ubalozi wa marekani kitambo na kufungia mitandao yao, je wamekufa?

6)serikali haimiliki pesa, infact wenyewe wanategemea kodi kupata mapato ya kujiendesha,! unahitaji shule zaidi
7) hakuna nchi inaweza kuajiri wananchi wake wote, pesa sko zote ni limited, wale watakaofanya kazi kwa bidii watazipata! kuna mwanasayansi mmoja alishawahi kusema. ukichukua pesa zote duniani na kugawa kwa wananchi wote duniani, kila mtu atapata ~50M TSH lakini baada ya mwaka ztarudi kwa wale wale waliokua wanazimiliki kabla( wafanya biashara)


8) ndege sku zote znapandwa na watu wachache duniani kote na mashirika mengi tu duniani wanarusha ndege zkiwa na wtu wachache na zingine znaacha biashara kabisa, which is very normal but same time kuna umuhimu sana wa kuwepo nazo, fuatilia south african airways, thomas cook, kenya airways and many more mashirika yenye majina uone wanajiendeshaje na kwann lazima ziwepo, as usual unahitaji shule zaidi

9) sio kila mtu anafanya kilimo kwenye hii nchi, dunia tayar ishageuka kwenye mapinduzi, watu wanafanya kilimo cha kisasa, watu 20 tu wanaproduce mazao nchi nzima kwa technology we bado unaongea kuwawezesha wakulima, uko dunia hii kweli?
[emoji706]
 
Kama
mimi hapo zamani nilikua namkubali lisu.ila kwa sasa haelewel elewek.Anasema anatoa kodi.hivi kwa akilonya kawaida nchi gani hailipi tax payer.marekan lwenyewe ni tax mpaka lwekena lwake.
vyama tawala vemeji reform na kuweka sera na mikakati usifikiri wewe peke yako ndio una uwezo wa kufikiria
Kama huelewi uwe unauliza kuku wewe hivi unawadogozako kweli ambao labda wanahitaji ushauri wako 🤔🤔🤣🤣🤣🤣😡
 
CCM ikishindwa uchaguzi itameguka vipande vipande.

Wengi wataenda kwa Membe huko CCM-B, ambaye ametangulia kuwatandikia vitanda.
 
CCM haitaanguka

Jiwe Jana na leo walikuwa na kikao na Wakurugenzi nchi Nzima..lengo Ni kuiba Kura na kuhujumu uchaguzi.

Ndio maana hakufuata ratiba ya Kampeni Iringa
Wataozea the Hague this time,kila kitu kinafatiliwa
 
kwa kumalizia, staki kua mwalimu wako, nenda shule utajifunza mengi! but. watanzania wengi wanaelewa kila kitu kinachoendelea, magufuli has been the african person of the year on the african report magazine 2016, izo zote mnazosubiri magufuli aongee mpate cha kujibu wananchi kampeni tambueni sio mabwege, magufuli has ~ 1M fans himself as himself, you will add that with ccm fans, kwa kurahisisha kazi tegemeeni kuanzia 18% or 25% ya kura kwa chadema, but mostly itakua less than 20%
umeamua kuweka akili mfukoni
 
umeamua kuweka akili mfukoni

piga mahesabu ya kura mlizopata 2015. alafu angalia hii video then niambie mnatoka na ngap mwaka huu kama sio <20%


hio less than <20% nmetoa kutokana na maelezo yake lakini nkiangalia mwamko wa wananchi kupiga kura 2015 na support waliowapa wapinzani then nkiangalia na apa kwenye twitter peke yake inatoa picha ya kutosha kinachoenda kutokea mwaka huu
1601232949687.png
 
eti the best faculties of this land belongs to ccm. Who told you ? Na hata kama ni kweli, wengi si wanakuja kwa sababu ya njaa tu ?????
 
Naiona CCM asilia ikirudi dimbani...ya wazee kama kina Butiku na Warioba....washauri kina Prof Shivj..
 
diplomasia sio sheria, i.e kama mahusiano hayana beneficiary hayana umuhimu kuwepo, saudi arabia, cuba, china, afganistan and russia hawana central bank kama BOT , hawahifadhi hata dola
Dogo acha uwongo, na ndio maana MATAGA hamna jipya. Nani kakuambia Saudi Arabia hawana central bank ? Saudi Arabia Monetary Authority (SAMA) ni nini ? Shida yenu mnakariri na wavivu tu wa kufikiri ndio maana mnadanganya hata vilivyo wazi. Peolple's Bank of China (PBOC) ni nini ? Sio central bank ile ? Shenzi kweli
 
Back
Top Bottom