ndo maana nkasema mwanzoni, wewe ni shangazi yake lissu! u will never understand economics,
1) kwenye uchumi wowote lazima kue na watu ambao maisha kwao ni magumu, na sio tatizo its slogan ya dunia ilivo,
2) umaskini sio sera, umaskini upo ndan ya mtu mwneyewe, unaweza zaliwa kama mkimbizi na ukatoka kimaisha, mf. ZIMBABWE hawana hata pesa ya nchi kwa sababu ilishakufa thamani , but wana bilionea kwenye list ya matajiri dunia, as i said before kuelewa economics hutaweza
3) serikali kazi yake ni kuweka sera tu, 99% depends on you! unaweza ukawa unaisha tanzania lakini unafanya kazi nje ya nchi na unalipwa nje ya nchi
4) hakuna mtu anakomolewa kwa sababu mm nko tanzania na nafanya biznez zangu na maisha yapo poa kabisa, sina cheo chochote na sjawhi fanya siasa na sjawahi ajiriwa na hata shule skumaliza
5) diplomasia sio sheria, i.e kama mahusiano hayana beneficiary hayana umuhimu kuwepo, saudi arabia, cuba, china, afganistan and russia hawana central bank kama BOT , hawahifadhi hata dola infact china wameshachoma majengo ya ubalozi wa marekani kitambo na kufungia mitandao yao, je wamekufa?
6)serikali haimiliki pesa, infact wenyewe wanategemea kodi kupata mapato ya kujiendesha,! unahitaji shule zaidi
7) hakuna nchi inaweza kuajiri wananchi wake wote, pesa sko zote ni limited, wale watakaofanya kazi kwa bidii watazipata! kuna mwanasayansi mmoja alishawahi kusema. ukichukua pesa zote duniani na kugawa kwa wananchi wote duniani, kila mtu atapata ~50M TSH lakini baada ya mwaka ztarudi kwa wale wale waliokua wanazimiliki kabla( wafanya biashara)
8) ndege sku zote znapandwa na watu wachache duniani kote na mashirika mengi tu duniani wanarusha ndege zkiwa na wtu wachache na zingine znaacha biashara kabisa, which is very normal but same time kuna umuhimu sana wa kuwepo nazo, fuatilia south african airways, thomas cook, kenya airways and many more mashirika yenye majina uone wanajiendeshaje na kwann lazima ziwepo, as usual unahitaji shule zaidi
9) sio kila mtu anafanya kilimo kwenye hii nchi, dunia tayar ishageuka kwenye mapinduzi, watu wanafanya kilimo cha kisasa, watu 20 tu wanaproduce mazao nchi nzima kwa technology we bado unaongea kuwawezesha wakulima, uko dunia hii kweli?