Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Nimeona harakati za watu kujitangaza kwamba watagombea urais, nachoweza kuwaambia ni kwamba kwa tume hii ya uchaguzi na katiba hii iliyozeeka! CCM inahitaji tu mgombea wa aina yoyote kama ushahidi kwamba tulifanya kampeni!
Lakini ni kutupotezea tu rasilimali pesa kuingiza team kufanya kampeni kupambana na CCM ambayo, wakuu wa wilaya ni CCM, wakuu wa mikoa ni CCM, wakurugenzi wote ni CCM, makatibu tarafa sijui nani huko wote ni CCM!! Watangaza matokeo ni CCM, viongozi wa tume ni CCM! Nikupoteza pesa kupeleka wagombea kwa mfumo wa aina hii...
Yoyote yule atamshinda Tundu Lissu asubuhi mapema kwa tiketi ya CCM hata kama wapinzani wataungana maadamu mnaeshindana nae ni CCM! Kwa katiba hii wekeni nguvu zenu kwenye majimbo kwanza.
Pia soma: