CCM imemlipia faini ya Tsh. Milioni 30 mwanachama wake Dkt. Vincent Mashinji. Atoka gerezani

Mpaka January 2020, ccm ilikuwa account inasoma bil 21
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamamamdogooovipiimshaanzaa kutoaana
 
Kwani kuna ubaya gani kufanya hivyo??? Ninaamini Chadema nao watawalipia faini watu wao.
 
Hiyo inakuwa worked out as:

X - 30M = cash in Dr's hand

Where:
X = The price tag
M = Millions
 
KWAHIYO MASHINJI KASHAKUWA JIKE SASA HIVI ANAPANDWA NA CHAMA DUME
 
Amini amini nakuambieni,wote waliohukumiwa jana endapo wangeunga mkono juhudi Kama alivyofanya V Mashinji wasingepatikana na hatia yoyote,ndio maana wameamua kumtoa wa kwetu tu na si wengineo.
Ningepata nafasi ya kuwashauri chama changu pendwa ningewashauri wamtoe Mashinji kwa mlango wa nyuma bila wao kuonekana,la sivyo wawatoe wote bila kujali itikadi zao,unakuwa mtawala halafu unawabagua watu kwa itikadi zao,changu mlitakiwa muoneshe mfano wa kuwaunganisha watu,Kama ambavyo serikali yetu ya CCM inatoa huduma kwa Watz wote bila kujali itikadi zao hata katika hili mlitakiwa mfanye hivyo,hamjachelewa toeni pesa zingine mkawatoe akina Mbowe ,CCM hoyee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana wa Chadema kwa roho mbaya ni kiboko. Yaani ninyi mnachanga hela kuwatoa akina Mbowe na wenzake wakati huohuo hamfurahii Dk. Mashinji kutolewa na wanachama wà chama chake. Nimeshangaa mnk kuna na johnthebaptist unashadidia hili.
 
Hakuna mwanaccm aliechanga,kwa walivyochoka kimaisha wanaccm wakudavadua,kawe alumin,laki si pesa,etwege,motochini,kidawa,hawana tofauti na yule dada aliekua anapigwa pipe na mudy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaliti Mkubwa anaonyesha ni jinsi gani alivyonunuliwa kwa vipande vya fedha.
 
CCM OYEE
CCM JUU JUU ZAIDI
TUMETOKA KUMLIPIA DK.MASHINJI
NA SASA TUNAFATA UTARATIBU WAKUMTOA PALE SEGERREA

CCView attachment 1384113M OYEE

INTELIJINSIA ya CHADEMA IKO JUU SANA HADI KUBAINI KUWA MASHINJI SI MWENZAO NA KUMTOA KWENYE RELI YA CHADEMA.

HONGERA CHADEMA, HONGERA MH. MBOWE NA TIMU YA UKWELI YA CHADEMA ASILI.

MUNGU AWABARIKI NA KUWAPA MAONO ZAIDI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…