Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,629
- 3,015
ILi kumpiga vita adui MARADHI, hatua kubwa imefikiwa katika nyanja zote ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya afya, wataalamu wa afya wa ngazi zote, upatikanaji wa vifaa tiba dawa na vitendanishi. Wakati tunapata uhuru, tulikuwa na madaktari watano (5) tu, ambapo kwa sasa chini ya Rais Samia madaktari bingwa pekee ni zaidi ya 2,469.