CCM imeongeza madaktari kutoka madaktari 5 wa mkoloni hadi 2,464

Safi sana

Yaaani katika miaka yote hiyo kwa mwaka mmoja wameajiri madaktari 38. Taifa lina wananchi milion 64 plus yaani daktari mmoja anahudumia wagonjwa 1,684,210. kwa mwaka ambao ni sawa na wagonjwa 4,678 kwa siku. Watu wote hawawezi kuumwa kwa wakati mmoja tuseme tu asilimia kumi ndo wagonjwa kwa siku tukikadiria ni kama wagonjwa 400 kwa siku kwa daktari mmoja. NI AIBU SANA. HAIFAI HATA KUZUNGUMZA MBELE YA WATU WENYE AKILI.
 
Sometimes I wish I could grab one of you and beat some sense into your thick skulls
 
ILi kumpiga vita adui MARADHI, hatua kubwa imefikiwa katika nyanja zote ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya afya, wataalamu wa afya wa ngazi zote, upatikanaji wa vifaa tiba dawa na vitendanishi. Wakati tunapata uhuru, tulikuwa na madaktari watano (5) tu, ambapo kwa sasa madaktari bingwa pekee ni zaidi ya 2,469.

CCM imeongeza madaktari kutoka madaktari 5 wa mkoloni hadi madaktari bingwa 2,464​

Pia CCM imezaa wananchi kutoka milioni 8 waliokuwepo enzi za mkoloni hadi milioni 64 waliopo sasa.
 
Bado hauziki! Pamoja na mabango nchi nzima,magari,Bodaboda,baiskeli,majiko ya kupikia,vitenge,kofia,nk vyenye Picha yake,bado hauziki.
 
ILi kumpiga vita adui MARADHI, hatua kubwa imefikiwa katika nyanja zote ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya afya, wataalamu wa afya wa ngazi zote, upatikanaji wa vifaa tiba dawa na vitendanishi. Wakati tunapata uhuru, tulikuwa na madaktari watano (5) tu, ambapo kwa sasa madaktari bingwa pekee ni zaidi ya 2,469.

CCM imeongeza madaktari kutoka madaktari 5 wa mkoloni hadi madaktari bingwa 2,464​

acha sisi tuendelee kuongeza tone tone
 
Halafu ikapunguza wagonjwa wangapi
 
Hii ni aibu kubwq yaani madaktari 2500 wawahudumie watu million 70 No reform no election is inevitable
 
Kumbe wakoloni kabla ya uhuru walituletea madaktari 5? basi walikuwa wanatupenda sn tena sn
 
Na mnawalipa Mia9 hamuoni aibu? Je wakifika japo mara 5 ya hapo?
 
ILi kumpiga vita adui MARADHI, hatua kubwa imefikiwa katika nyanja zote ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya afya, wataalamu wa afya wa ngazi zote, upatikanaji wa vifaa tiba dawa na vitendanishi. Wakati tunapata uhuru, tulikuwa na madaktari watano (5) tu, ambapo kwa sasa madaktari bingwa pekee ni zaidi ya 2,469.

CCM imeongeza madaktari kutoka madaktari 5 wa mkoloni hadi madaktari bingwa 2,464​

Jamaa yangu amesoma primary green acres, o-level precious girls sec, a-level akasoma St. Mary's, chuo akasoma kcmc. Sasa ni daktari (MD) na hana ajira. ccm inahusikaje ktk elimu yake? Je, sio sera mbovu za ccm zinazosababisha yeye na wahitimu wengine wakose ajira?
Ila nyie chawa kwa akili zenu mtashauri aende veta, au akaendeshe bodaboda, au akafungue kiwanda- a.k.a. kupika maandazi na kuweka viraka kwa cherehani.
 
Back
Top Bottom