Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,629
- 3,015
- Thread starter
- #41
leo tunachukua fomuJamaa yangu amesoma primary green acres, o-level precious girls sec, a-level akasoma St. Mary's, chuo akasoma kcmc. Sasa ni daktari (MD) na hana ajira. ccm inahusikaje ktk elimu yake? Je, sio sera mbovu za ccm zinazosababisha yeye na wahitimu wengine wakose ajira?
Ila nyie chawa kwa akili zenu mtashauri aende veta, au akaendeshe bodaboda, au akafungue kiwanda- a.k.a. kupika maandazi na kuweka viraka kwa cherehani.