Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,629
- 3,015
Safi sanaILi kumpiga vita adui MARADHI, hatua kubwa imefikiwa katika nyanja zote ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya afya, wataalamu wa afya wa ngazi zote, upatikanaji wa vifaa tiba dawa na vitendanishi. Wakati tunapata uhuru, tulikuwa na madaktari watano (5) tu, ambapo kwa sasa madaktari bingwa pekee ni zaidi ya 2,469.
CCM imeongeza madaktari kutoka madaktari 5 wa mkoloni hadi madaktari bingwa 2,464
kazi imefanyika kweli kweliSafi sana
MAMBO NI MAZURI SANAILi kumpiga vita adui MARADHI, hatua kubwa imefikiwa katika nyanja zote ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya afya, wataalamu wa afya wa ngazi zote, upatikanaji wa vifaa tiba dawa na vitendanishi. Wakati tunapata uhuru, tulikuwa na madaktari watano (5) tu, ambapo kwa sasa madaktari bingwa pekee ni zaidi ya 2,469.
CCM imeongeza madaktari kutoka madaktari 5 wa mkoloni hadi madaktari bingwa 2,464
ILi kumpiga vita adui MARADHI, hatua kubwa imefikiwa katika nyanja zote ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya afya, wataalamu wa afya wa ngazi zote, upatikanaji wa vifaa tiba dawa na vitendanishi. Wakati tunapata uhuru, tulikuwa na madaktari watano (5) tu, ambapo kwa sasa madaktari bingwa pekee ni zaidi ya 2,469.
CCM imeongeza madaktari kutoka madaktari 5 wa mkoloni hadi madaktari bingwa 2,464
Ujinga na ulimbukeni ndio unawasumbua vibaraka wa CCM.ILi kumpiga vita adui MARADHI, hatua kubwa imefikiwa katika nyanja zote ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya afya, wataalamu wa afya wa ngazi zote, upatikanaji wa vifaa tiba dawa na vitendanishi. Wakati tunapata uhuru, tulikuwa na madaktari watano (5) tu, ambapo kwa sasa madaktari bingwa pekee ni zaidi ya 2,469.
CCM imeongeza madaktari kutoka madaktari 5 wa mkoloni hadi madaktari bingwa 2,464
NANI MJINGA KATI YETU?Ujinga na ulimbukeni ndio unawasumbua vibaraka wa CCM.
Kama una akili za kukutosha ungesema CCM imeongeza wananchi toka milioni 9 wakati wa mkoloni hadi milioni 60.ILi kumpiga vita adui MARADHI, hatua kubwa imefikiwa katika nyanja zote ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya afya, wataalamu wa afya wa ngazi zote, upatikanaji wa vifaa tiba dawa na vitendanishi. Wakati tunapata uhuru, tulikuwa na madaktari watano (5) tu, ambapo kwa sasa madaktari bingwa pekee ni zaidi ya 2,469.
CCM imeongeza madaktari kutoka madaktari 5 wa mkoloni hadi madaktari bingwa 2,464
NIA NI KUPATA UELEWA SAHIHI MKUUUlinganisho wako ni wa kindezi. Basi endelea pia linganisha.
Mwaka 1962 CCM (Kama TANU) ilipoingia madarakani kulikuwa na wasomi wangapi wa Diploma na Degree hawana ajira na sasa 2024/25 wapo wangapi hawana ajira?
Hapo ndio utajitambua
Imeengeza madaktariILi kumpiga vita adui MARADHI, hatua kubwa imefikiwa katika nyanja zote ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya afya, wataalamu wa afya wa ngazi zote, upatikanaji wa vifaa tiba dawa na vitendanishi. Wakati tunapata uhuru, tulikuwa na madaktari watano (5) tu, ambapo kwa sasa madaktari bingwa pekee ni zaidi ya 2,469.
CCM imeongeza madaktari kutoka madaktari 5 wa mkoloni hadi madaktari bingwa 2,464
Mtu yeyote anayetaka CCM iendelee kubaki madarakani hata baada ya utawala kwa miaka zaidi ya 60 huyo sio mjinga tu ni limbukeni mkubwa!NANI MJINGA KATI YETU?
Tanzania's challenges are intensifying, which might erode CCM's long-standing dominance. Interestingly, elements once viewed as harmful are now facing internal conflicts.ILi kumpiga vita adui MARADHI, hatua kubwa imefikiwa katika nyanja zote ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya afya, wataalamu wa afya wa ngazi zote, upatikanaji wa vifaa tiba dawa na vitendanishi. Wakati tunapata uhuru, tulikuwa na madaktari watano (5) tu, ambapo kwa sasa madaktari bingwa pekee ni zaidi ya 2,469.
CCM imeongeza madaktari kutoka madaktari 5 wa mkoloni hadi madaktari bingwa 2,464
πππKwqmba tunasomeshwa na ccm