Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Safi sana
Pia CCM imezaa wananchi kutoka milioni 8 waliokuwepo enzi za mkoloni hadi milioni 64 waliopo sasa.ILi kumpiga vita adui MARADHI, hatua kubwa imefikiwa katika nyanja zote ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya afya, wataalamu wa afya wa ngazi zote, upatikanaji wa vifaa tiba dawa na vitendanishi. Wakati tunapata uhuru, tulikuwa na madaktari watano (5) tu, ambapo kwa sasa madaktari bingwa pekee ni zaidi ya 2,469.
CCM imeongeza madaktari kutoka madaktari 5 wa mkoloni hadi madaktari bingwa 2,464
ndio maana yake😂😂😂
Kwamba waliwalipia ada.
kawekwa wapiBint yangu usimuweke hapo nimemsomesha mwenyewe KCMC , na hakuwahi kusomeshwa na FISIEM tokea VIDUDU
Sitaki huo ujinga wenu
😂😂Na wewe ni Daktari bingwa pia au masomo yalipita kushotondio maana yake
acha sisi tuendelee kuongeza tone toneILi kumpiga vita adui MARADHI, hatua kubwa imefikiwa katika nyanja zote ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya afya, wataalamu wa afya wa ngazi zote, upatikanaji wa vifaa tiba dawa na vitendanishi. Wakati tunapata uhuru, tulikuwa na madaktari watano (5) tu, ambapo kwa sasa madaktari bingwa pekee ni zaidi ya 2,469.
CCM imeongeza madaktari kutoka madaktari 5 wa mkoloni hadi madaktari bingwa 2,464
kazi unafanyika😂😂Na wewe ni Daktari bingwa pia au masomo yalipita kushoto
😂😂😂kazi unafanyika
Halafu ikapunguza wagonjwa wangapiILi kumpiga vita adui MARADHI, hatua kubwa imefikiwa katika nyanja zote ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya afya, wataalamu wa afya wa ngazi zote, upatikanaji wa vifaa tiba dawa na vitendanishi. Wakati tunapata uhuru, tulikuwa na madaktari watano (5) tu, ambapo kwa sasa madaktari bingwa pekee ni zaidi ya 2,469.
CCM imeongeza madaktari kutoka madaktari 5 wa mkoloni hadi madaktari bingwa 2,464
Hii ni aibu kubwq yaani madaktari 2500 wawahudumie watu million 70 No reform no election is inevitableILi kumpiga vita adui MARADHI, hatua kubwa imefikiwa katika nyanja zote ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya afya, wataalamu wa afya wa ngazi zote, upatikanaji wa vifaa tiba dawa na vitendanishi. Wakati tunapata uhuru, tulikuwa na madaktari watano (5) tu, ambapo kwa sasa madaktari bingwa pekee ni zaidi ya 2,469.
CCM imeongeza madaktari kutoka madaktari 5 wa mkoloni hadi madaktari bingwa 2,464
wagonjwa wanapunguaji wakati idadi ya watu inaongezeka?Halafu ikapunguza wagonjwa wangapi
kwanini kichwa kioze?Mtu anaongea kama kichwa kimeoza🚮🚮🚮
pamoja mkuuSafi sana
Jamaa yangu amesoma primary green acres, o-level precious girls sec, a-level akasoma St. Mary's, chuo akasoma kcmc. Sasa ni daktari (MD) na hana ajira. ccm inahusikaje ktk elimu yake? Je, sio sera mbovu za ccm zinazosababisha yeye na wahitimu wengine wakose ajira?ILi kumpiga vita adui MARADHI, hatua kubwa imefikiwa katika nyanja zote ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya afya, wataalamu wa afya wa ngazi zote, upatikanaji wa vifaa tiba dawa na vitendanishi. Wakati tunapata uhuru, tulikuwa na madaktari watano (5) tu, ambapo kwa sasa madaktari bingwa pekee ni zaidi ya 2,469.
CCM imeongeza madaktari kutoka madaktari 5 wa mkoloni hadi madaktari bingwa 2,464