Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,629
- 3,015
- Thread starter
-
- #41
leo tunachukua fomuJamaa yangu amesoma primary green acres, o-level precious girls sec, a-level akasoma St. Mary's, chuo akasoma kcmc. Sasa ni daktari (MD) na hana ajira. ccm inahusikaje ktk elimu yake? Je, sio sera mbovu za ccm zinazosababisha yeye na wahitimu wengine wakose ajira?
Ila nyie chawa kwa akili zenu mtashauri aende veta, au akaendeshe bodaboda, au akafungue kiwanda- a.k.a. kupika maandazi na kuweka viraka kwa cherehani.
Punguza michosho na hekaya zako za kufikirika.ILi kumpiga vita adui MARADHI, hatua kubwa imefikiwa katika nyanja zote ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya afya, wataalamu wa afya wa ngazi zote, upatikanaji wa vifaa tiba dawa na vitendanishi. Wakati tunapata uhuru, tulikuwa na madaktari watano (5) tu, ambapo kwa sasa madaktari bingwa pekee ni zaidi ya 2,469.
CCM imeongeza madaktari kutoka madaktari 5 wa mkoloni hadi madaktari bingwa 2,464
kwanini mkuuPunguza michosho na hekaya zako za kufikirika.
Punguza kusokomezewa borikoni mdomoniILi kumpiga vita adui MARADHI, hatua kubwa imefikiwa katika nyanja zote ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya afya, wataalamu wa afya wa ngazi zote, upatikanaji wa vifaa tiba dawa na vitendanishi. Wakati tunapata uhuru, tulikuwa na madaktari watano (5) tu, ambapo kwa sasa madaktari bingwa pekee ni zaidi ya 2,469.
CCM imeongeza madaktari kutoka madaktari 5 wa mkoloni hadi madaktari bingwa 2,464
Lingamisha uwiano wakati chini ya Milioni 8 wakati wa uhuru na Milioni 65 ya SasaILi kumpiga vita adui MARADHI, hatua kubwa imefikiwa katika nyanja zote ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya afya, wataalamu wa afya wa ngazi zote, upatikanaji wa vifaa tiba dawa na vitendanishi. Wakati tunapata uhuru, tulikuwa na madaktari watano (5) tu, ambapo kwa sasa madaktari bingwa pekee ni zaidi ya 2,469.
CCM imeongeza madaktari kutoka madaktari 5 wa mkoloni hadi madaktari bingwa 2,464
hujui nini?Kwqmba tunasomeshwa na ccm