CCM imeruka maji ikakanyaga tope. Sophia na Shaka ni "light materials" majukwaani!

Hakuna Siasa zisizo na punchlines, hakutakuwa na mashambulizi yanayohusu mwili wa mtu, ila yanayohusu serikali yatakuwepo
 
Na nimekuambia live,mimi huwa sitafuti uteuzi,ila wewe nadhani unawasikia watu humu 24×7 wakikuambia live!

Maana ya wewe kuweka namba ya simu,ni kutafuta uteuzi.
Kwamba wateuxi wakutafute baada ya kuona ukiwapambania bila aibu,tena kwa kujitoa akili na kujifanya hamnazo usiyeona madhila wanayopitia watanzania ....
kwa kiwango vhako cha uelewa!

Mimi siwezi weka namba yangu kamwe,maana itatumika kunimaliza.

Narudia,usiiendekeze sana njaa!
Njaa huwa inaponza akili,na njaa husababisha mtu kuchukua maamuzi yasiyokuwa sahihi.

Lucas mwashambwa
Je!
Umeishajisajili kwenye a-chawa wa taifa au bado
 
Bado huja kata tamaa tu we dada?
 
Kwa Sera na ajenda zipi walizonazo upinzani za kuweza kuitikisa CCM? Upinzani hauna Sera Wala ajenda zaidi ya ushabiki wa viongozi wao,upinzani viongozi wao ndio Sera zao na ajenda zao,hakuna itikadi Wala misingi inayosimamiwa ndani ya upinzani,Ndio maana vimekuwa vyama vya kudandia na kurukia matukio ,ndio maana vimekosa nuungwaji mkono kutoka kwa watanzania,

Hakuna mwenye uwezo wa kusimama na mama Samia Jukwaani Wala katika sanduku la kura maana alishaiteka mioyo ya watanzania kwa utendaji na uchapa kazi wake uliotukuka,Ndio maana watanzania hawaoni sababu ya kufanyika uchaguzi wa Urais uchaguzi ujao,

Kwa Sasa CCM ndio chama kinachotumainiwa na kutegemewa na watanzania kuwasemea na kuwatetea katika kila changamoto wapitiayo,ndio chama kilichoonyesha kuwa na uchungu na maisha yao
 
Sina njaa na ndio maana siandikinkinjaa njaa Kama wewe unayeandika kwa kutanguliza chuki binafsi na hasira
 
Mkuu
Mwl Athumani Ramadhani ...

Ahsante kwa kupasua mbarika!

Kuna watu kama huyo Mwashambwa,nadhani pia ni Mshamba ndani ya chama,baye ndio kwanza ameingia....na yeye kichomuingiza ni kusaka tonge!

Na ameona pa kuanzia ni kwenye uchawa,ili apate short Cut ya kazi.

Umeongea jambo ambalo,tutakuja kulishuhudia huko mbeleni,na tutaikumbuka sana hii topic yako.

Ubarikiwe sana!
 
Mkuu

Tushukuru tu DOLA ilikula kiapo cha kuilinda CCM hadi wakati mwafaka ukifika wa kuiacha ijipambanie!!

Ccm kama Chama hakina tatizo bali wanachama wamekichafua sana KWA kuendekeza ujinga wa umwinyi wizi na UBADHIRIFU!

Leo gharama za kumlea mteule wa Rais ni kubwa kuliko mradi wa maendeleo wa kata FULANI nchini!

Huo ni UJINGA wa WAZI!

UNAFIKIRI mwanaccm MAKINI alielelewa na falsafa za nyerere atakubaliana na ujinga Huo!?


Tumepoteza mwelekeo !

Tambua Hilo Lucas!
 
Acha wapambane na huo Utopolo wao
 
Nipo ccm miaka na miaka na nitaendelea kwa mwanaccm katika uhai wangu wote ,maana ndio chama chenye Dira na muelekeo unaoeleweka,tofauti na mavyama ya upinzani ambayo Ni mavyama ya mifukoni mwa watu na miradi binafsi ya watu na familia zao, Ni Saccos za watu au vikoba,ndio maana mambo take huwa hayaeleweki, upinzani Ni vyama vya utafunaji na uswagaji wa kila Senti inayoingiwa chamani na kufanya utapeli tapeli tu
 
Kazi inaendelea dhidi ya nyie mliopoteza dira na muelekeo wa kisiasa,lazima mchapwe kwa hoja mpaka akili zenu ziwakae sawa
CCM hii hii inatoa wapi hoja pengine ufisadi na mitozo ndio hoja zenu majukwaani miaka 7 mnafanya siasa peke yenu mbona hamkufanya tupoteane akili kisoda
 
Kakufa Kakufa tu. Kwa yy hana lana za wengine uko kuzimu
 
Vyama vilivyopoteza muelekeo Ni vile vya upinzani ambavyo hata mbadala wa Mwenyekiti tu havina,miaka na miaka nonmwenyekiti yule yule utafikiri nati za reli ,na ole wako ujifanye unachukua fomu utasema vizuri Kama wewe ni sehemu ya chama hicho ambacho Ni Cha ukwe na wakwe
 
CCM hii hii inatoa wapi hoja pengine ufisadi na mitozo ndio hoja zenu majukwaani miaka 7 mnafanya siasa peke yenu mbona hamkufanya tupoteane akili kisoda
Huna hata aibu unaposena tozo,kwa hiyo unataka huduma bure bila kuchangia, unafikiri nchi zilizoendelea kiuchumi zilifika hapo kwa kushushiwa maendeleo kutoka angani,unafikiri wananchi wake walibweteka Kama unavyotaka wewe? Watanzania wanamuunga mkono Rais wetu Ndio maana wanataka kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe kwa kuchangia kulingana na vipato vyao
 
Ila Mkuu maudhui ya Sophia kuwa light umeruka hujamwelezea ulight wake hasa ukimhusisha control variable yako especially the heavy ones, how Sophia is light? and how light is light? What represents light as opposed to heavy.

Rarua rarua mwamba, wajiandae kupoteana au ndio Ile hali mtake mistake, mtupe kura au mtunyime CCM itashinda tu.
 
Hawezi tambua kwa sababu tamaa imemtia upofu.kwake CCM ni kama Duka!

Hayupo kwa maslahi mapana ya chama na Taifa.
Bali yeye Lucas mwashambwa Yuko pale,kama Special Project Envoy!

Haelewi misingi iliyopelekea kuzaliwa kwa CCM.

Wala hana historia ya CCM, bali ameikuta ikiwa tayari imetekwa na wanajeshi.

Kapteni Mkuchika!
Kapteni Kikwete!
Kapteni Lowassa!
Luteni Makamba!
Kanali Kinana!

.....nimewataja kwa uchache hao ambao bado wako hai kwa sasa!
 
Acha ujinga.Mmetulimbikizia matozo ili mnunue ma VVVXXX, huku wananchi tunataabika na maisha,.Maharage, mchele, unga, dagaa vyote havishikiki mmebaki kusema Vita ya Ukraine.Mungu azidi kuwatia upofu mkubali Katiba mpya, muone wananchi tutakavyo wanyoosha, Kenge nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…