Kwani wananchi hawalipi kodi?
Wananchi hawakatwi PAYEE?
Wananchi wanaweka prsa benki,lakini serikali bado inazifuata huko huko!
Halafu kuja kwenye huduma za jamii mnakuwa 0-
Hela zoote mnafisadi na kuwaachia wananchi mzigo wa mademi?
Uone aibu kwa mfano tukio la mkuu wa mkoa kuja hadharani Mwanza na kuuweka uozo wa halmashauri ya jiji.
Na hilo ni tone tu!
Huko Tabora mnawahudumia wananchi kwa vifaa tiba vilivyokw8sha Expire!
Shame...on all of you out there!
Kweli chawa ni kiumbe mbaya kuwahi kuumbwa hapa Duniani,maana hana huruma na kiumbe anayemnyonya!
View attachment 2481569