CCM imeruka maji ikakanyaga tope. Sophia na Shaka ni "light materials" majukwaani!

Na zile za mikopo zinajenga nini?
Na zile za kodi TRA zinafanya nini?

Hivi wewe kwa akili timamu unaweza kutoka ukatetea kitu ambacho huna uhakika nacho?
Kila kitu ni muhimu, kuna zinazomalizia miradi mikubwa ambayo iliachwa ikiwa chini ya 20%, kuna miradi ya madarasa, mabarabara, vyote hivi vinahitaji fedha nyingi kiasi vijisent vya tozo haviwezi kusukuma chochote.
#lichawa_likubwa.
 
Najuwa hujawahi kulima Wala kushika jembe zaidi ya kuandika ngonjera zako hapa,kwa Taarifa yako Ni kuwa Bei ya mazao ilikuwa nzuri Tangia wakati wa mavuno ambapo mkulima alipata nafasi ya kujiuzia mazao take sokoni kwa Bei nzuri iliyokuwa inapatikana, Na Sasa mkulima amelima Sana kwa msaada wa mh Rais baada ya kutoa mabillioni ya Ruzuku katika mbolea,Ndio sababu ya mh Rais kupenya na kuzitawala midomo na mioyo ya watanzania kwa jinsi anavyochapa kazi kwa kwenda mbele
 
Rubbish [emoji1005]
 
Tukiliongea hili tunaonekana wachochezi. Eti hata Waziri wa kilimo hajui kwamba wakulima waliuza mazao Yao Kwa walanguzi Mei-Juni 2022 na mpaka Sasa nao ni wanunuzi wa unga wa vibaba? Mkoani Iringa na Rukwa gunia la mahindi lililanguliwa Kwa 36k na Sasa linanadiwa Kwa 120K+. Ukiongea ukweli kama huu tunaokwenda vijijini tutakusapoti Tu bila kujali itikadi yako.
 
Rangi zake ye kinyonga!? Ukinizingua nakuzingua iliishia wapi!? Toka hapa na taarabu zako "chawa wa mama" wewe.
 
Wewe nawe ndio mmoja wa wale wapumbavu wanaojiiita "chawa wa mama". Huu uharo ulitakiwa ukauharishie pale Lumumba na sio humu jukwaani.
 
Mchele unabei nzuri kweli jitahidi ndugu, hawa wapuuzi wanaita mfumuko wa bei, ni wakati sasa wakulima kuendesha VOGUE.
Atupe Connection tukalime sisi wa huku Kaskazini mvua za masika bado hadi mwezi wa tatu,
Halafu huyu jamaa ni ni makusudi anafanya yeye mwenyewe ni mtu wa kupiga mihayo tu,
Sasa hujui ni mihayo ya njaa/uchovu/ au usingizi.
 
Tatizo nchi hii siasa zimetutia upofu hadi kutuondolea Utambuzi wa mema na mabaya!

Mtu anakurupuka tu,anasema eti sasa ni kipindi cha mkulima kufaidi.
Bila kuujua uhalisia kwamba mhanga namba moja ndio huyo mkulima wa kijijini,anayeishi bila kipato na bila akiba ya chakula.
Baada ya kuwa walanguzi wamefanya vyao.
Kisha wanaweka stock na kyanza kucheza na bei.
 
Chama ambacho kinafanya tuwe maskini
Ajenda zote wanazo ahidi wanashindwa kuzitekeleza na Kuna muda wanazikataa wao wenyewe.
CCM ni chama mufilisi hakifai hata kupewa nyumba kumi kuongoza maana matatizo ya kutatua kwa kutumia raslimali zinazotuzunguka bado wanakopakopa
Hatuwezi kuwa na chama ambacho sifa kuu ya mwanachama awe mnafiki na awe na vinasaba vya uchawa
 
Duuh leo saa mbovu imeyapatia majira hahaha
 
Nchi gani isiyokopa, kukopa siyo dhambi Wala jinai,kinachoangaliwa Ni unakopa kwa ajili ya nini, aina ya mkopo,masharti ya mkopo,muda wa kurejesha mkopo,riba ya mkopo. Tanzania chini ya serikali ya Rais Samia imekuwa ikichukua mikopo ya masharti nafuu na imekuwa ikiwekeza katika miradi ya kimkakati yenyee tija kwa Taifa letu
 
Bila polisi na TISS hakuna ccm imara wee mnyiha ...ccm iliondoka kwenye vichwa vya wa Tanzania toka 2010 ...iliyopo bila vyombo vya dola ni sawa pamba tu ...
 
Bila polisi na TISS hakuna ccm imara wee mnyiha ...ccm iliondoka kwenye vichwa vya wa Tanzania toka 2010 ...iliyopo bila vyombo vya dola ni sawa pamba tu ...
Hata ije tume ya uchaguzi kutoka marekani bado CCM itashinda kwa kishindo kutokana na ubora wa Sera na ajenda zake zinazomgusa mtanzania
 
Kwahiyo kwenu harungu kuambiwa ukweli ni tusi ?? Ukiambiwa punguza kwenda Igamba bila mpangilio ni tusi ?? Ukimwambia dada Yako awe makini anasonga ugali maana kila siku anasonga mbichi ni tusi ?? Kama Tunduma mchele ni bei rahisi kuliko kamsamba ukiulizwa kulikoni ni tusi ??? . .. hv weee Tumghoje au tumleshele ukoje lkn ???
 
Hapo sasa,inafikia mahali unashindwa kuelewa akili ya mwenyekiti inashauriwa na akili ya nani mwingine?
Ni hivi: CCM hata siku moja haizingatii sifa kwenye kuteua. Ingekuwa inazingatia sifa, huyo Shaka asingekuwa hata mwenyekiti wa kijiji. Hii ni kwa sababu wanajua dola ni yao. Wanajua machinery ya kuandaa, kusimamia na kutoa matokeo ya uchaguzi ni wao wanai-control.
 
Hakunaga siasa za staha wewe , mnajidanganya tuuu , kutukanwa kupo tuu ... Huyo katibu mwenezi wa kike sjui ataongea nn wanaume waache kazi wamsikilize
Madudu yake aliyofanya Lushoto akiwa DC ndiyo wakati wa kuyamwaga ole wake ajichanganye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…