CCM imeruka maji ikakanyaga tope. Sophia na Shaka ni "light materials" majukwaani!

Luka umesahau kuweka namba za simu
 
Ni kweli kabisa hii ni laana kamili ...samia mwanamke na huyo sofia mwanamke tena kwa kimbembe cha 2025 labda ccm wamweke majaliwa kuwa mgombea urais au polepole vinginevyo ....watajuta kwa kunya akili na kubakisha kinyesi kichwani
 
Shaka huyu alipigwa chini na JPM kwa kadhfa ya rushwa kule Morogoro halkustahili kupewa nafasi tena ya uongozi ila uzanzibari wake ndiyo ulimbeba
 
Añayetaka staha basi na yy awe na staha kweli...la sivyo atayakoga kama Kawa .... Tatzo ukweli ninyi kwenu ni matusi
CCM tunasema nyie ndio kioo chetu, Toeni hoja za kimsingi sisi tuzifanyie kazi, lakini sio matusi.
 
Ni kweli kabisa hii ni laana kamili ...samia mwanamke na huyo sofia mwanamke tena kwa kimbembe cha 2025 labda ccm wamweke majaliwa kuwa mgombea urais au polepole vinginevyo ....watajuta kwa kunya akili na kubakisha kinyesi kichwani
CCM IS A TEAMWORK!
Stop lie yourself.
 
TOZO za kununulia ma v8 wakuu wa MIKOA na warugenzi wewe ndio umekosa aibu pesa zetu CCM inafanyia anasa (WANAJITAJILISHA) WEWE enderea kusaga matako hapo lumumba Huku ukiamini CCM italeta maendereo miaka 61 ya UHURU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…