Uchaguzi mkuu wa ccm ulifanyika oct 2022, ambapo makatibu wenezi wa ccm mkoa hawakuchaguliwa kipindi hicho na mwenyekiti amesahau kuwa alisema wenezi wa ccm mkoa watateuliwa.
Hadi leo hawajawahi kuteuliwa sasa Makonda utafanya kazi na nani?
Kazi ya kwanza teua wenezo wa ccm mkoa ili uanze kibarua chako.