CCM imewahi kuwa chama Cha upinzani katika majiji na Halmashauri kadhaa, na bado amani ilitamalaki

Ushauri wangu Kwa wananchi ni kuwa:

Ikiwa tangu mfumo wa Vyama vingi kuanza, hujawahi KUONGOZWA na chama Cha upinzani, chagua upinzani Ili uweze kupata tofauti.

Kitisho Cha kupoteza Amani zilikuwa ni hadaa tu.
Hizo ni porozo za miaka 47 zilizotolewa na viongozi walioshindwa,kwahiyo wakajificha hapo kwakujua wananchi hawajielewi.Kiongozi atakayezizungumzia sasa atakua bado anafikiri tuko duni kifikra.Machafuko yoyote yanaanzishwa na yule anayeshindwa kudumisha haki na usawa miongoni mwa jamii anayoiongoza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesi za ugaidi na uhaini Kwa viongozi wa upinzani zililenga kuendelea hadaa hii.

Lakini tunashukuru, wananchi ni waelewa.
 
Salaam, Shalom!!

Ile Sumu iliyokuwa ikienezwa na viongozi waliotangulia kuwa kuchagua upinzani ni kuchagua vita na kukosekana Amani, kurudisha nyuma maendeleo ,umebainika kuwa ni uongo wa kuaminika tena wa kiwango Cha juu.

Baba wa Taifa, Mwl Nyerere aliwahi kukataa dhana hiyo pale aliposema, "CCM Si mama yangu",alienda mbali na kusema kuwa ikiwa chama changu CCM kitatoka katika misingi ya kuanzisha kwake, nitaikataa na kuchagua chama Cha upinzani.

Majiji na Halmashauri kadhaa, zimewahi KUONGOZWA na vyama vya upinzani na Amani ikiendelea kuwepo.

Serikali ilikusanya Kodi, mafungu yalifika Kwa mkurugenzi wa Jiji au Halmashauri husika na Mayor wa chama Cha upinzani aliongoza kupanga vipaumbele vya matumizi ya pesa hizo na mambo yalienda vizuri tu.

Ni dhahiri kuwa vyama vya upinzani Si chanzo Cha kuvurugika Kwa Amani Mahali popote.

Kwa uzoefu huo, kama imewezekana katika level ya ubunge, inawezekana katika kupata pia Rais Kutoka chama Cha upinzani.

Jambo muhimu ni kuhakikisha tunapambania Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya kabla ya Uchaguzi wowote 2024&2025.

Nakaribisha wananchi wote waliowahi KUONGOZWA na chama Cha upinzani katika Halmashauri au Jiji while CCM kikiwa benchi watupe experience katika yafuatayo:

1.Upatikanaji wa huduma ulikuwaje.

2. RUSHWA ilipungua au kuongezeka Kwa kiwango Gani?

3. Uwajibikaji wa viongozi.

4. Upatikanaji wa HAKI katika fursa za kiuchumi, kijamii na kisiasa ulikuwaje?

5. USALAMA na ulinzi mitaani wakati wote ulikuwaje?

Tanzania bila CCM inawezekana.

Karibuni🙏
Ikiwa watoto wanakosa bima ya AFYA, wake wa wenza wa viongozi wastaafu wakilipwa,

Tunatakiwa kuiondoa madarakani moja Kwa moja.
 
.
 
CCM ni Panya road waliovalishwa suti na kukaa kwenye ofisi za uma👇
 
Back
Top Bottom