CCM imewahi kuwa chama Cha upinzani katika majiji na Halmashauri kadhaa, na bado amani ilitamalaki

Ushauri wangu Kwa wananchi ni kuwa:

Ikiwa tangu mfumo wa Vyama vingi kuanza, hujawahi KUONGOZWA na chama Cha upinzani, chagua upinzani Ili uweze kupata tofauti.

Kitisho Cha kupoteza Amani zilikuwa ni hadaa tu.
Hizo ni porozo za miaka 47 zilizotolewa na viongozi walioshindwa,kwahiyo wakajificha hapo kwakujua wananchi hawajielewi.Kiongozi atakayezizungumzia sasa atakua bado anafikiri tuko duni kifikra.Machafuko yoyote yanaanzishwa na yule anayeshindwa kudumisha haki na usawa miongoni mwa jamii anayoiongoza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesi za ugaidi na uhaini Kwa viongozi wa upinzani zililenga kuendelea hadaa hii.

Lakini tunashukuru, wananchi ni waelewa.
 
Ikiwa watoto wanakosa bima ya AFYA, wake wa wenza wa viongozi wastaafu wakilipwa,

Tunatakiwa kuiondoa madarakani moja Kwa moja.
 
.
 
CCM ni Panya road waliovalishwa suti na kukaa kwenye ofisi za uma👇
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…