CCM Ina wanachama Milioni 9+ lakini bado wanaiba kura

Ccm haina wanachama 9m+, bali imeuza kadi 9m+ kutokana na hofu iliyopandikiza nchi hii. Ingekuwa na wanachama 9m isingejihusisha na wizi wa kura. Tena baada ya Magufuli kuingia na madaraka na kuanza kutawala kwa mabavu, ndio imezidi kupoteza wanachama wake wachache ilikuwa nao.
Ni hofu tupu
 
CCM Ina Wanachama Zaidi Ya Millions 9 Lakini Bado Kwenye Uchaguzi Wanaiba Kura; Hii Inaniambia Na Kunipa Maana Ya Kwamba Mioyoni Mwa Hao Wanachama Huenda Wapo Nao Physically But Mentally Ni Wapinzani[emoji56][emoji1539][emoji1241]

Wengi Tupo CCM Sio Kwamba Tunakipenda Chama Na Mambo Yake. Hapana Tupo ndani Ya Chama Kujificha Tusishambulishwe, Tusitekwe,tusiuliwe na kutupwa Kama mizoga ya mbwa,Tusipewe kesi,Tusifuatiwe Kwenye biashara zetu kwa kupewa madeni makubwa ya kodi n.k.

Usishangae kwa nini Kwenye Uchaguzi CCM wanatumia pesa nyingi kuhonga Hadi Wanachama wao ili wapite, Usishangae kwa Nini CCM Wanatumia Hadi polisi kuiba kura japo wanajidai wanawanacha wengi.
Hao ni feki haina wanachama
 
Ushahidi unao wa wiz huo?
Hapo kinondoni kura zilipigwa siku mbili kabla. Walishiriki vijana na kuahidiwa kulipwa 5000 mpaka leo hawajapewa chochote.
Kigoma kwenye jumba la maendeleo kasulu kazi lifanyika usiku.
Kwinginepo Vituo vilifunguliwa saa 9 usiku kuingiza kura kwenye makasha.
Ushahidi waliosimamia uchaguzi
 
CCM Ina Wanachama Zaidi Ya Millions 9 Lakini Bado Kwenye Uchaguzi Wanaiba Kura; Hii Inaniambia Na Kunipa Maana Ya Kwamba Mioyoni Mwa Hao Wanachama Huenda Wapo Nao Physically But Mentally Ni Wapinzani😇👐🏿🇹🇿

Wengi Tupo CCM Sio Kwamba Tunakipenda Chama Na Mambo Yake. Hapana Tupo ndani Ya Chama Kujificha Tusishambulishwe, Tusitekwe,tusiuliwe na kutupwa Kama mizoga ya mbwa,Tusipewe kesi,Tusifuatiwe Kwenye biashara zetu kwa kupewa madeni makubwa ya kodi n.k.

Usishangae kwa nini Kwenye Uchaguzi CCM wanatumia pesa nyingi kuhonga Hadi Wanachama wao ili wapite, Usishangae kwa Nini CCM Wanatumia Hadi polisi kuiba kura japo wanajidai wanawanacha wengi.
Ndiyo maana ukiwambia katiba mpya wanakimbia ndukiii!
 
Hakuna chama chochote katika nchi hii chenye idadi hiyo ya wanachama. Nina uhakika wanachama kamili wa ccm hawazidi laki tano. Ccm imebaki dola tu hamna chama pale.
 
CCM Ina Wanachama Zaidi Ya Millions 9 Lakini Bado Kwenye Uchaguzi Wanaiba Kura; Hii Inaniambia Na Kunipa Maana Ya Kwamba Mioyoni Mwa Hao Wanachama Huenda Wapo Nao Physically But Mentally Ni Wapinzani[emoji56][emoji1539][emoji1241]

Wengi Tupo CCM Sio Kwamba Tunakipenda Chama Na Mambo Yake. Hapana Tupo ndani Ya Chama Kujificha Tusishambulishwe, Tusitekwe,tusiuliwe na kutupwa Kama mizoga ya mbwa,Tusipewe kesi,Tusifuatiwe Kwenye biashara zetu kwa kupewa madeni makubwa ya kodi n.k.

Usishangae kwa nini Kwenye Uchaguzi CCM wanatumia pesa nyingi kuhonga Hadi Wanachama wao ili wapite, Usishangae kwa Nini CCM Wanatumia Hadi polisi kuiba kura japo wanajidai wanawanacha wengi.
Wanachama hai wa Chama cha Mapinduzi ni jeshi la polisi la Tanzania, bila Jeshi la Polisi kusimamia wizi wa kura Chama cha mafisadi hakiwezi kutoboa uchaguzi hata mmoja
 
Back
Top Bottom