Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Labda pamoja na mifugo mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hofu tupuCcm haina wanachama 9m+, bali imeuza kadi 9m+ kutokana na hofu iliyopandikiza nchi hii. Ingekuwa na wanachama 9m isingejihusisha na wizi wa kura. Tena baada ya Magufuli kuingia na madaraka na kuanza kutawala kwa mabavu, ndio imezidi kupoteza wanachama wake wachache ilikuwa nao.
Wakisema hewa nitakubaliana naoNi hofu tupu
Ni genge la matapeli tupuWakisema hewa nitakubaliana nao
Hao ni feki haina wanachamaCCM Ina Wanachama Zaidi Ya Millions 9 Lakini Bado Kwenye Uchaguzi Wanaiba Kura; Hii Inaniambia Na Kunipa Maana Ya Kwamba Mioyoni Mwa Hao Wanachama Huenda Wapo Nao Physically But Mentally Ni Wapinzani[emoji56][emoji1539][emoji1241]
Wengi Tupo CCM Sio Kwamba Tunakipenda Chama Na Mambo Yake. Hapana Tupo ndani Ya Chama Kujificha Tusishambulishwe, Tusitekwe,tusiuliwe na kutupwa Kama mizoga ya mbwa,Tusipewe kesi,Tusifuatiwe Kwenye biashara zetu kwa kupewa madeni makubwa ya kodi n.k.
Usishangae kwa nini Kwenye Uchaguzi CCM wanatumia pesa nyingi kuhonga Hadi Wanachama wao ili wapite, Usishangae kwa Nini CCM Wanatumia Hadi polisi kuiba kura japo wanajidai wanawanacha wengi.
Hapo kinondoni kura zilipigwa siku mbili kabla. Walishiriki vijana na kuahidiwa kulipwa 5000 mpaka leo hawajapewa chochote.Ushahidi unao wa wiz huo?
Ndiyo maana ukiwambia katiba mpya wanakimbia ndukiii!CCM Ina Wanachama Zaidi Ya Millions 9 Lakini Bado Kwenye Uchaguzi Wanaiba Kura; Hii Inaniambia Na Kunipa Maana Ya Kwamba Mioyoni Mwa Hao Wanachama Huenda Wapo Nao Physically But Mentally Ni Wapinzani😇👐🏿🇹🇿
Wengi Tupo CCM Sio Kwamba Tunakipenda Chama Na Mambo Yake. Hapana Tupo ndani Ya Chama Kujificha Tusishambulishwe, Tusitekwe,tusiuliwe na kutupwa Kama mizoga ya mbwa,Tusipewe kesi,Tusifuatiwe Kwenye biashara zetu kwa kupewa madeni makubwa ya kodi n.k.
Usishangae kwa nini Kwenye Uchaguzi CCM wanatumia pesa nyingi kuhonga Hadi Wanachama wao ili wapite, Usishangae kwa Nini CCM Wanatumia Hadi polisi kuiba kura japo wanajidai wanawanacha wengi.
Crap!! Out of point 🚮🚮🚮🚮Chadema ina wanachama laki 6 lakini bado wamegomea chanjo ya corona
Wanachama hai wa Chama cha Mapinduzi ni jeshi la polisi la Tanzania, bila Jeshi la Polisi kusimamia wizi wa kura Chama cha mafisadi hakiwezi kutoboa uchaguzi hata mmojaCCM Ina Wanachama Zaidi Ya Millions 9 Lakini Bado Kwenye Uchaguzi Wanaiba Kura; Hii Inaniambia Na Kunipa Maana Ya Kwamba Mioyoni Mwa Hao Wanachama Huenda Wapo Nao Physically But Mentally Ni Wapinzani[emoji56][emoji1539][emoji1241]
Wengi Tupo CCM Sio Kwamba Tunakipenda Chama Na Mambo Yake. Hapana Tupo ndani Ya Chama Kujificha Tusishambulishwe, Tusitekwe,tusiuliwe na kutupwa Kama mizoga ya mbwa,Tusipewe kesi,Tusifuatiwe Kwenye biashara zetu kwa kupewa madeni makubwa ya kodi n.k.
Usishangae kwa nini Kwenye Uchaguzi CCM wanatumia pesa nyingi kuhonga Hadi Wanachama wao ili wapite, Usishangae kwa Nini CCM Wanatumia Hadi polisi kuiba kura japo wanajidai wanawanacha wengi.
Hao wanachama milioni 9 mbona wameshindwa kumaliza chanjo ya corona milioni
Chukua Chako MapemaHaahaaahaa chama chakavu