CCM Ina wanachama Milioni 9+ lakini bado wanaiba kura

Ni hofu tupu
 
Hao ni feki haina wanachama
 
Ushahidi unao wa wiz huo?
Hapo kinondoni kura zilipigwa siku mbili kabla. Walishiriki vijana na kuahidiwa kulipwa 5000 mpaka leo hawajapewa chochote.
Kigoma kwenye jumba la maendeleo kasulu kazi lifanyika usiku.
Kwinginepo Vituo vilifunguliwa saa 9 usiku kuingiza kura kwenye makasha.
Ushahidi waliosimamia uchaguzi
 
Ndiyo maana ukiwambia katiba mpya wanakimbia ndukiii!
 
Wanachama million 9? Hahaahah ahahahah ccm waongo sana
 
Hakuna chama chochote katika nchi hii chenye idadi hiyo ya wanachama. Nina uhakika wanachama kamili wa ccm hawazidi laki tano. Ccm imebaki dola tu hamna chama pale.
 
Wanachama hai wa Chama cha Mapinduzi ni jeshi la polisi la Tanzania, bila Jeshi la Polisi kusimamia wizi wa kura Chama cha mafisadi hakiwezi kutoboa uchaguzi hata mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…