CCM inachekesha sana; wazee walioshindwa miaka yote ndio wanarudishwa tena? Wana Jipya gani?

Kuna mambo mengine ni kama dharau.

Watu waliopata fursa miaka mingi huko nyuma na wamestafu bila kuwa na impact ya maana kwenye Taifa wanarudishwa ili iweje?

Hii sio dharau kwa vijana na watu makini ndani ya Chama chetu cha CCM?
Aibu kubwa. Wajumbe wameduwaa
 
Jamani tujitahidi kupanga maisha huyu mzee tangu awamu ya kwanza bado tu anapambana na ofisi.Leo anakuja kishindana na vile vitukuu vyake vinavyomtukana Mbowe.Ee Mungu tusaidie kutimia ujana na uzee vizuri.
 
Kuna mambo mengine ni kama dharau.

Watu waliopata fursa miaka mingi huko nyuma na wamestafu bila kuwa na impact ya maana kwenye Taifa wanarudishwa ili iweje?

Hii sio dharau kwa vijana na watu makini ndani ya Chama chetu cha CCM?
So tuseme mboe au lisu ni vijana hao?
 
Back
Top Bottom