Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
Mzee wa usingizi, atakuja kushituka kutoka usingizini Lissu ashakuwa Rais
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana shida gani jamaaAfadhali Jerry Muro ila Gambo hapana!
Namjua Gambo, kuna mshikaji wangu amekulia naye mtaa mmoja huko Ilala.
Huyo jamaa hafai!
Ndio maana wamempitisha asiende kumsumbua MwenyekitiMzee wa usingizi
HahahaWameshikilia tunguli mazee
Miaka 10 iliyopita bungeni alikuwa ni Mtu wa kusinzia tu.Kuongoza kundi la watu kwenye mambo ya itikadi sio kitu rahisi.Vijana wana mihemko na wanapenda show off za midia na mitandao kitu ambacho sio lengo lakuwepo kwa hiyo nafasi.
Wajumbe hoyeeehKuna mambo mengine ni kama dharau.
Watu waliopata fursa miaka mingi huko nyuma na wamestafu bila kuwa na impact ya maana kwenye Taifa wanarudishwa ili iweje?
Hii sio dharau kwa vijana na watu makini ndani ya Chama chetu cha CCM?
Ni kama unavyomuona!Ana shida gani jamaa
Nasikia huko aliko anakula totozi tu mwanzo mwisho.Ni kama unavyomuona!
Ni kama Diwani wa Arusha huko alivyosema "Mbunge wao ni matatizo yanayotembea".
Abraham Lincoln alisema "If you want to test a man's character, give him power".
Gambo alivyopata madaraka alibadilika mwenendo wake.
Ni mtu ambaye madaraka hayamfai! Ni mtu ambaye inabidi awe chini ya mtu aongozwe.
Doh!Nasikia huko aliko anakula totozi tu mwanzo mwisho.
HahahaDoh!
Hili namwachia mwenyewe apambane nalo!
Kwa Wasira ni wajukuu hao 🤣 🤣So tuseme mboe au lisu ni vijana hao?
Kaka ukiwa ndani aya CCM iwe kijana ama Mzee ni kuishi kwa adabu.. ni kweli hizi ni dharau ila huna la kufanya..ni LAZIMA sasa ufanye kazi na babu yako.Kuna mambo mengine ni kama dharau.
Watu waliopata fursa miaka mingi huko nyuma na wamestafu bila kuwa na impact ya maana kwenye Taifa wanarudishwa ili iweje?
Hii sio dharau kwa vijana na watu makini ndani ya Chama chetu cha CCM?