Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Ahahahahaha! Yaani aliyewaita nyumbu ana akili sana!Chama wanachoita kizee cha CCM kinawabwaga chaguzi zote hivyo vyenye vijana hoi bin taabani ikifika chaguzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahahaha! Yaani aliyewaita nyumbu ana akili sana!Chama wanachoita kizee cha CCM kinawabwaga chaguzi zote hivyo vyenye vijana hoi bin taabani ikifika chaguzi
Kuna mambo mengine ni kama dharau.
Watu waliopata fursa miaka mingi huko nyuma na wamestafu bila kuwa na impact ya maana kwenye Taifa wanarudishwa ili iweje?
Hii sio dharau kwa vijana na watu makini ndani ya Chama chetu cha CCM?
..yule pembeni km namjua ni kapiteni komb?Ng'ombe hazeeki maini! Bado yumo!
Hakuna dharauLisu akishindwa uchaguzi sababu anamdharau mzee mbowe ndipo utaelewa
Na chenyewe kimezeeka,kuwa na wasira ni size yake!Wazee walioshindwa una maana gani wakati chama chao CCM kinaongoza nchi hii tangu Uhuru na mwakani 2025 kitashinda kwa kishindo?
Kuna mambo mengine ni kama dharau.
Watu waliopata fursa miaka mingi huko nyuma na wamestafu bila kuwa na impact ya maana kwenye Taifa wanarudishwa ili iweje?
Hii sio dharau kwa vijana na watu makini ndani ya Chama chetu cha CCM?
Uko sahihi pia kiafrika wazee ndio wenye mikoba ya mambo yaleeeeeHawa wazee katika majukumu yao wangekuwa wanapewa vijana kufanya nao kazi ili kuwajengea uwezo, ili wanapoondoka waweze kukaimu au kushika nafasi hizo kwa ukomavu.
Huwezi kuwakwepa wazee, wanaomchango mkubwa kwetu vijana, tujifunze kutoka kwao, tusiwaondoe kabisa Kwa kigezo cha uzee,tuutumie uzee wao kujijengea uwezo wa baadaye.
LIsu kugombea uwenyekiti sio tatizo, tatizo langu kwa Lisu ni kumfanya mtangulizi wake aonekane kila alichokifanya ni kibaya, kwa maneno mengine Lisu ndiye anajua kila kitu, yeye Lisu ndiye anaakili pekee hakuna mwingine anajua chochote, isipokuwa yeye tu. Huo sio mtizamo sahihi.Uko sahihi pia kiafrika wazee ndio wenye mikoba ya mambo yaleeeee
Bila kukabidhiwa mikoba ileeee kijana hatoboi akiwemo Lisu
Uenyekiti sio tu kugombea cheo ni pamoja na kukabidhiwa mikoba ilee
Lisu hajui hayo mtoto wa ubelgiji ndio maana atashindwa vibaya mno anadhani uenyekiti ni kugombea uenyekiti tu
Mwafrika mjinga huyo
Uzungu umemuharibu
Tena inakeraInashangaza sana
LIsu kugombea uwenyekiti sio tatizo, tatizo langu kwa Lisu ni kumfanya mtangulizi wake aonekane kila alichokifanya ni kibaya, kwa maneno mengine Lisu ndiye anajua kila kitu, yeye Lisu ndiye anaakili pekee hakuna mwingine anajua chochote, isipokuwa yeye tu. Huo sio mtizamo sahihi.
Kwenye msahafu wao, mtu yeyote aliyefanikiwa ni mwizi, mla rushwa, siyo muadilifu.
Mi napenda uhuru wa kuchaguana, na kuchagiliwa, Lisu awe na staha, kama anayoyasema yana ushahidi auweke hadharani tuuone tutamuunga mkono, ila siwezi kumuamini kwa yeye kubwabwaja tu.
Sasa yeye akishinda, hatofanya kazi na balaza la wazee chadema?
Uzee siyo dhambi, hivyo tusiwaone wazee kama mashetani, tuwatumie watuongoze vizuri.
Sijui kama unawatoto, lakini tunaeafunza watoto kuheshimu wazee na kujifunza kwao, kwa maana uzoefu wao unaweza kutusaidia huko tuendako.
Model zote zinatokana na uzoefu uliopita, na hao ndio wazee.
Uko sahihi pia kiafrika wazee ndio wenye mikoba ya mambo yaleeeee
Bila kukabidhiwa mikoba ileeee kijana hatoboi akiwemo Lisu
Uenyekiti sio tu kugombea cheo ni pamoja na kukabidhiwa mikoba ilee
Wameongoz miaka yote sawa wameleta impact gani kwenye Taifa?Wazee walioshindwa una maana gani wakati chama chao CCM kinaongoza nchi hii tangu Uhuru na mwakani 2025 kitashinda kwa kishindo?
Kazi ipo sana kwenye mifumo ya kiafrikaNdio maana hakuna ubunifu katika vijana wanaowaibua kwa sababu succession planning inafanywa na wazee.
Mtu ambae yupo kileo (japo fisadi) sio kwenye ubunifu tu, hata rahisi kushaurika akiona merit ya hoja ni January Makamba tu.
Waliobaki hata ukiwapa kuendesha duka la mtaa wao wenyewe, baada ya mwaka utakuta limefungwa, they don’t have what it takes to manage anything; let alone a ministry.
Ahahahaaaaa kumbe mnajijua?Kijana awe makamu mwenyekiti wa CCM? Hawa wanaoshindia mitandaoni wakitukanana? Hiyo nafasi inahitaji busara
Nimemsikiliza sana yeye na hata wapambe wake, wao ni shutuma na matusi kwa kila asiyemuunga mkono Lisu.Hujamsikiliza Lissu vizuri inaonekana unapenda sana maneno ya kusilia kwa watu
CCM imeshajifiaKuna mambo mengine ni kama dharau.
Watu waliopata fursa miaka mingi huko nyuma na wamestafu bila kuwa na impact ya maana kwenye Taifa wanarudishwa ili iweje?
Hii sio dharau kwa vijana na watu makini ndani ya Chama chetu cha CCM?
Poor succession planningCCM imeshajifia
Sasa kama unaunga mkono wala rushwa hata wewe utaonekana hivyo hata kama ujala hata mia.Nimemsikiliza sana yeye na hata wapambe wake, wao ni shutuma na matusi kwa kila asiyemuunga mkono Lisu.
Asiye mkubali Lisu ni mla rushwa, ni mwizi, ni mjinga. Ila Lisu ndiye anaakili kuliko kiumbe yeyote nchi hii.
Kama nasikiliza maneno, ni maneno ya Lisu na Team Lisu.