CCM inachekesha sana; wazee walioshindwa miaka yote ndio wanarudishwa tena? Wana Jipya gani?

Kuna mambo mengine ni kama dharau.

Watu waliopata fursa miaka mingi huko nyuma na wamestafu bila kuwa na impact ya maana kwenye Taifa wanarudishwa ili iweje?

Hii sio dharau kwa vijana na watu makini ndani ya Chama chetu cha CCM?
Wangempa Luka Si Muosha Mbwa
 
Kuna mambo mengine ni kama dharau.

Watu waliopata fursa miaka mingi huko nyuma na wamestafu bila kuwa na impact ya maana kwenye Taifa wanarudishwa ili iweje?

Hii sio dharau kwa vijana na watu makini ndani ya Chama chetu cha CCM?
we pambana ha hao nyumbu wenzio mambo ya CCM yako juu sana ya uwezo wako
 
Mimi nilicho hisi mama hakutaka mtu mwenye future asije aza misuguano. Kwahiyo ameweka mtu ambae amemaliza kila kitu kiuongozi.
 
Kuna mambo mengine ni kama dharau.

Watu waliopata fursa miaka mingi huko nyuma na wamestafu bila kuwa na impact ya maana kwenye Taifa wanarudishwa ili iweje?

Hii sio dharau kwa vijana na watu makini ndani ya Chama chetu cha CCM?
Upinzani haujawahi shinda sababu ya hao wazee. CCM miaka yote tunashinda kwa sababu tunaheshimu wazee wetu ndani ya CCM

CHADEMA hamuheshimu wazee ndio maana hamshindi

Na Lisu wenu huyo atashindwa uchaguzi vibaya mno sababu hamheshimu mzee Mbowe

Uzee dawa wewe
 
Mpaka wafe,kaburi ndio litaamua hatima Yao!
 
Upinzani haujawahi shinda sababu ya hao wazee. CCM miaka yote tunashinda kwa sababu tunaheshimu wazee wetu ndani ya CCM

CHADEMA hamuheshimu wazee ndio maana hamshindi

Na Lisu wenu huyo atashindwa uchaguzi vibaya mno sababu hamheshimu mzee Mbowe

Uzee dawa wewe
Hoja dhaifu sana!
 
Kuna mambo mengine ni kama dharau.

Watu waliopata fursa miaka mingi huko nyuma na wamestafu bila kuwa na impact ya maana kwenye Taifa wanarudishwa ili iweje?

Hii sio dharau kwa vijana na watu makini ndani ya Chama chetu cha CCM?
Wazee walioshindwa una maana gani wakati chama chao CCM kinaongoza nchi hii tangu Uhuru na mwakani 2025 kitashinda kwa kishindo?
 
Back
Top Bottom