Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Ajabu aliye omba kustaafu ana nguvu ya kazi kuliko anae ingia kazini.Kuna mambo mengine ni kama dharau.
Watu waliopata fursa miaka mingi huko nyuma na wamestafu bila kuwa na impact ya maana kwenye Taifa wanarudishwa ili iweje?
Hii sio dharau kwa vijana na watu makini ndani ya Chama chetu cha CCM?