CCM inachekesha sana; wazee walioshindwa miaka yote ndio wanarudishwa tena? Wana Jipya gani?

CCM inachekesha sana; wazee walioshindwa miaka yote ndio wanarudishwa tena? Wana Jipya gani?

Nani kati yangu na wewe ana IQ ndogo? Wewe unasema Tanzania elimu haikidhi si ndio? Kwahiyo si uwapeleke watoto wako Burundi? Au unataka waendelee kupata elimu isiyokidhi?
Kuwapeleka Burundi sio suluhisho la kudumu suluhisho la kudumu ni kupigania elimu Bora ipatikane kwa wote
 
Vijana wa ccm wajiajiri, watakwambia hivyo huku wao hawajiajiri pamoja na pensheni na mitaji waliowekeza maisha yao tote .
 
Dunia inaelekea kwenye ‘fourth industry revolution’ strategy ya malengo hayo katika ilani ya CCM ya uchaguzi 2025 utokuta.

CCM ni predictable, Stephen Wassira ndio main architect wa ilani yao na outdated wa maswala ya dunia ya leo (hata asingekuwa makamu mwenyekiti) bado ndio main strategist wao wa sera.
 
Vijana hawana busara,hekima na maarifa wanayo kiduchu hata kwenye teusi mama awe anazingatia umri nashauri kuanzia ngazi ya DED Awe anaanzia umri wa 50yrs.
 
Kuna haja ya CCM kuadhibiwa na Watanzania.
Sio tu kuadhibiwa bali hata viongozi wake baada ya kutolewa wakamatwe, kufungwa na kufilisiwa na familia.

Kwa kiasi kikubwa matatizo mengi ya nchi hii shida kuu ni CCM na watu wanaoizunguka CCM, watu wanaoizunguka ni hawa wote wanufaika wa ujinga wa CCM.
 
Back
Top Bottom