CCM inachekesha sana; wazee walioshindwa miaka yote ndio wanarudishwa tena? Wana Jipya gani?

Kuna mambo mengine ni kama dharau.

Watu waliopata fursa miaka mingi huko nyuma na wamestafu bila kuwa na impact ya maana kwenye Taifa wanarudishwa ili iweje?

Hii sio dharau kwa vijana na watu makini ndani ya Chama chetu cha CCM?
Ajabu aliye omba kustaafu ana nguvu ya kazi kuliko anae ingia kazini.
 
Wameongoz miaka yote sawa wameleta impact gani kwenye Taifa?
Unaenda kuangalia mechi ya Yanga anaondolewa kwenye mashindano. Unapiga kelele baa au kibanda umiza. Unatoka hapo unaenda nyumbani ukijua familia yako ipo salama salimini. Unafika, unapakuliwa chakula, unakula, una make jokes na watoto wako wakubwa kuhusu matokeo ya Yanga, Wassira kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM na Uchaguzi wa Chadema. Baada ya hapo unaenda kulala na kukoroma hadi asubuhi.

Hiyo ndiyo impact. Kama huamini nenda hama na familia yako uende Msumbiji au Sudan nyambafu wewe!
 
Kuna mambo mengine ni kama dharau.

Watu waliopata fursa miaka mingi huko nyuma na wamestafu bila kuwa na impact ya maana kwenye Taifa wanarudishwa ili iweje?

Hii sio dharau kwa vijana na watu makini ndani ya Chama chetu cha CCM?
 
Attachments

  • IMG-20250115-WA0008.jpg
    IMG-20250115-WA0008.jpg
    77.1 KB · Views: 1
Busara zinatokana na experience, sasa mtu kamaliza chuo anatembea na bahasha, hajajadili mradi wa maendeleo hata wa milioni 200
Umri WA kina mfano jokate kushuka chini hakuna WA kuongoza chama ,usikimbilie jobless maana hao hawana vigezo kabisa ....Makamu kwanza hanaga kazi nyingi kama mwenyekiti
 
Sasa kama unaunga mkono wala rushwa hata wewe utaonekana hivyo hata kama ujala hata mia.
Siyo kweli na hakuna ukweli wa maneno ya Lisu na Team Lisu kuhusu rushwa, hawana ushahidi wowote kuhusu hilo, sio video, sio picha, siyo nyaraka, wala account.

Wao ni matusi na kelele zisizokuwa na msingi wowote, zaidi ya wivu, majungu, na kutaka madaraka kwa malengo yao binafsi.

Ni ujinga na utoto tu, hawana lolote, halafu kwa kubwabwaja huko wanataka washinde waongoze chama, chama gani. Labda wakasajiri chao cha kuropoka hovyo.
 
Hahahaha.
Siyo kweli na hakuna ukweli wa maneno ya Lisu na Team Lisu kuhusu rushwa, hawana ushahidi wowote kuhusu hilo, sio video, sio picha, siyo nyaraka, wala account.

Wao ni matusi na kelele zisizokuwa na msingi wowote, zaidi ya wivu, majungu, na kutaka madaraka kwa malengo yao binafsi.

Ni ujinga na utoto tu, hawana lolote, halafu kwa kubwabwaja huko wanataka washinde waongoze chama, chama gani. Labda wakasajiri chao cha kuropoka hovyo.
 
Kuna mambo mengine ni kama dharau.

Watu waliopata fursa miaka mingi huko nyuma na wamestafu bila kuwa na impact ya maana kwenye Taifa wanarudishwa ili iweje?

Hii sio dharau kwa vijana na watu makini ndani ya Chama chetu cha CCM?
Kashawaloga wajumbe wote pale wanapiga kura kama Mazombi tuu
 
Unaenda kuangalia mechi ya Yanga anaondolewa kwenye mashindano. Unapiga kelele baa au kibanda umiza. Unatoka hapo unaenda nyumbani ukijua familia yako ipo salama salimini. Unafika, unapakuliwa chakula, unakula, una make jokes na watoto wako wakubwa kuhusu matokeo ya Yanga, Wassira kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM na Uchaguzi wa Chadema. Baada ya hapo unaenda kulala na kukoroma hadi asubuhi.

Hiyo ndiyo impact. Kama huamini nenda hama na familia yako uende Msumbiji au Sudan nyambafu wewe!
We jamaa IQ yako ndogo sana, suala la kuendesha nchi ni pana sana sio suala la kula tu na kuongelea simba na yanga! Hao watoto wake unaowazungumzia future yao ipo vipi? Je wanapata elimu sahihi itayoweza kukabiliana na changamoto za ulimwengu wa sasa au Bora liende?
 
Kama wewe hukupata elimu sahihi pole sana. Mimi niliipata na watoto wangu waliipata na wengine wanaendelea kupata.

By the way, watoto wako si uwapeleke Burundi wakapate hiyo elimu sahihi ambayo wewe uliikosa Tanzania?
 
Ndio mana niikakwambia IQ yako ndogo! Kwanini niende burundi wakati nchi yangu ni Tanzania? Kiufupi elimu inatakiwa iboreshwe kukidhi viwango vya sasa na sio kuwaambia watu wapeleke watoto burundi
 
Nani kati yangu na wewe ana IQ ndogo? Wewe unasema Tanzania elimu haikidhi si ndio? Kwahiyo si uwapeleke watoto wako Burundi? Au unataka waendelee kupata elimu isiyokidhi?
 
Kuna mambo mengine ni kama dharau.

Watu waliopata fursa miaka mingi huko nyuma na wamestafu bila kuwa na impact ya maana kwenye Taifa wanarudishwa ili iweje?

Hii sio dharau kwa vijana na watu makini ndani ya Chama chetu cha CCM?
Wassira ndiye mganga wao kwenye uchaguzi japo yeye alibwagwa na binti mdogo.
 
Back
Top Bottom