Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
80? What is new?Kijana awe makamu mwenyekiti wa CCM? Hawa wanaoshindia mitandaoni wakitukanana? Hiyo nafasi inahitaji busara
HahahaHuyu Mzee ni kada wa NCCR - Mageuzi kwa record zetu.
Na nyie mchagueni mze Mtei.Kuna mambo mengine ni kama dharau.
Watu waliopata fursa miaka mingi huko nyuma na wamestafu bila kuwa na impact ya maana kwenye Taifa wanarudishwa ili iweje?
Hii sio dharau kwa vijana na watu makini ndani ya Chama chetu cha CCM?
Aibu kubwa. Wajumbe wameduwaaKuna mambo mengine ni kama dharau.
Watu waliopata fursa miaka mingi huko nyuma na wamestafu bila kuwa na impact ya maana kwenye Taifa wanarudishwa ili iweje?
Hii sio dharau kwa vijana na watu makini ndani ya Chama chetu cha CCM?
HahahaNa nyie mchagueni mze Mtei.
Si bado yupo?
Busara ipi?Busara ni muhimu,vijana wamekuwa wanakosa busara kwa vitendo na kauli.!
Bado yupo tu, hope makongoro Nyerere anacheka huko alipoππKuna mambo mengine ni kama dharau.
Watu waliopata fursa miaka mingi huko nyuma na wamestafu bila kuwa na impact ya maana kwenye Taifa wanarudishwa ili iweje?
Hii sio dharau kwa vijana na watu makini ndani ya Chama chetu cha CCM?
Ndio maan hafla za huko zilikosa mvuto.Busara ni muhimu,vijana wamekuwa wanakosa busara kwa vitendo na kauli.!
Na hapo utakuta kapambana kweli kweli mpaka anatoboa hiyo nafasiJamani tujitahidi kupanga maisha huyu mzee tangu awamu ya kwanza bado tu anapambana na ofisi.Leo anakuja kishindana na vile vitukuu vyake vinavyomtukana Mbowe.Ee Mungu tusaidie kutimia ujana na uzee vizuri.
Kijana kama Jery Muro au Gambo ni shidaAfadhali hizo nafasi waendelee hivyo hivyo kuwapa wazee, vijana wengi bado!
So tuseme mboe au lisu ni vijana hao?Kuna mambo mengine ni kama dharau.
Watu waliopata fursa miaka mingi huko nyuma na wamestafu bila kuwa na impact ya maana kwenye Taifa wanarudishwa ili iweje?
Hii sio dharau kwa vijana na watu makini ndani ya Chama chetu cha CCM?
Afadhali Jerry Muro ila Gambo hapana!Kijana kama Jery Muro au Gambo ni shida