CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Nelson Jacob Kagame

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2022
Posts
9,576
Reaction score
13,545
Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.

Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
 
Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu.Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni
CCM imetufikisha pale tulipotoka.
 
Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu.Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni
Pongezi kwa kuleta gongo na kamari?
 
Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.

Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Naunga mkono hoja.
P
 
Kadili siku zinavyozidi kwenda chini ya ccm naona watu wanatoka kwenye umasikini kwenda kwenye ufukara imefika mahali hata kumudu gharama za Milo mitatu ni ngumu
 
Bongo is all slums, mitaa michafu wala haijapimwa , hakuna maji wala umeme wa kuaminika, mitaa mizuri ni ile ya mkoloni, hata sehemu mpya makazi ya watu ni juhudi za watu maana watu wanajitahidi kujenga nyumba nzuri lakini barabara na huduma muhimu kazi ya serikali ya CCM ni big let down.

CCM imeturudisha nyuma sana na ndio chanzo cha umaskini na wamefanya hata uchaguzi usiwe na maana tena nchini kwa ajiri ya wizi wao wa kura
 
Back
Top Bottom