CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Ukilinganisha Tanzania na nchi kama Singapore au Malaysia ambazo wakati wa Uhuru kulikuwa nao sawa au kuwazidi na pale nchi hizo za Singapore na Malaysia zilipofikia .
Kwa raslimali ambazo tunazo viongozi wote wa CCM wanatakiwa kupelekwa jela na kuchapwa viboko vingi sana.
Kwa Kwa ujumla ukiangalia Kwa umakini viongozi hao wametumia madaraka waliyo ya grab Kwa wananchi kujinufaisha wao na familia zao Kwa kujilimbikizia mali na ukwasi mikubwa sana kulipo hata wafanyabiashara. ukilinganisha na mishahara yao.
Just imagine viwanasiasa kama vikina Biseko kuwa tu kwenye wizara ya madini kinawezaje kumiliki ghorofa Kariakoo .
Acha ujinga wewe mtoa post.
Hii nchi ma CCM wameinajisi kupitia kiasi inabidi wapumzishwe , wafilisiwe pamoja na kupelekwa jela
Una hakika na usemayo au ni mihemuko tu ya kisiasa mdogo wangu????Karibu uchangie
 
Ben Saanane
Azory Gwanda
Tundu Lissu
Akwilina
Tozo
Makinikia
Richmond gate
AnnBen Co. Ltd
Inflation
Illiterate level kuwa juu
Uhalifu dhidi ya kaki za binadamu
Na kadhalika na kadhalika
Umezaliwa era ipi mdogo wangu na mada umeielewa hapo juu???
 
Nakazia:
Naipongeza CCM kwa kututoa kwenye umasikini na kutupeleka kwenye ufukara.
 
Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.

Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Kabla ya 1961 palikuwa na mfumo wa Vyama vingi.

Umewahi kujiuliza vingeendelea kuwepo, na chama cha upinzani kingechukua uongozi mwaka 1970,

Tungekuwa wapi kama Nchi hivi Leo?
 
Back
Top Bottom