Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Tumeipokea kwa mikono miwili asante yako mdau.Karibu sana tujenge nchi pamojaAsanteni na hongereni maana hatujafikia hatua ya Ukraine na Russia
Nitawajulisha mkuu ucjaliWamekutuma waambie umefikisha ujumbe.
Msile pekeyenu sasa wajameni. Tukumbukeni na siye Kwa kupunguza bei za vitu ndo tunakulia humohumo.Tumeipokea kwa mikoni miwili adante yako mdau.Karibu sana tujenge nchi pamoja
Mambo yatakaa sawa hili ni suala la mda.Na serikali yetu ni sikivu na inajua mnayopitia vijana wa nchi hiiMsile pekeyenu sasa wajameni......tukumbukeni na siye Kwa kupunguza bei za vitu ndo tunakulia humohumo
Waambie bado hatujaona ruksa kwa wote, maisha bora kwa kila mtanzania, hapa kazi tu na kazi iendelee(kazi zipi na vijana hawafikiwi)Nitawajulisha mkuu ucjali
CCM imetufikisha pale tulipotoka.Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu.Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni
Mtanzania wa maisha ya kimasikini level ya kati, anaweza jenga nyumba moja kwa miaka 10 akamaliza.Mambo yatakaa sawa hili ni suala la mda.Na serikali yetu ni sikivu na inajua mnayopitia vijana wa nchi hii
Pongezi kwa kuleta gongo na kamari?Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu.Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni
Haina kila kitu? Kama nini Haina?Mtanzania wa maisha ya kimasikini level ya kati, anaweza jenga nyumba moja kwa miaka 10 akamaliza.
Dar pekee yake, haina karibia kila kitu, kwa miaka 60 sasa, wamefanya nini unasema?
Naunga mkono hoja.Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.
Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
1. BarabaraHaina kila kitu? Kama nini Haina?
Fursa zipo kaka.Hujaamua tuWaambie bado hatujaona ruksa kwa wote, maisha bora kwa kila mtanzania, hapa kazi tu na kazi iendelee(kazi zipi na vijana hawafikiwi)