CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Lazima kuwe na kipimo cha matokeo hata darasani mwanafunzi aliepata 5/100 anaesabiwa amefeli hatuwezi kumpa pongezi kwamba amefanya vizuri kwa sababu hajapata 0. Unataka tutoe pongezi bila kusema tumetoka wapi, tupo wapi na kipimo kipi kitumike kama determinant ya matokeo. Mmeshindwa kuja na sera nzuri za uchumi lawama mnarushia wasomi serikali haitoi ajira kwa miaka 6 mfululizo, kodi kandamizi na utitiri wa tozo zinakwamisha watu kujiajiri kosa la hao wasomi liko wapi hapo
Serikali yoyote haikosi changamoto.Lakini tulipotoka ni mbali na serikali inahitaji pongezi.Nitaelezea kwa kina na kirefu ucjali.Karibu uchangie kaka
 
Uliza mkuu.
Ina maana kwa maoni yako mdau unaona kuipa pongezi serikali ni suala lisilotakiwa,na vigezo vyako vyote vya kutotoa pongezi ni hivyo ulivyosema hapo juu?

Au mrengo tofauti kidogo mpaka yale mema ya serikali inayoongozwa na CCM huyaoni?
 
Ina maana kwa maoni yako mdau unaona kuipa pongezi serikali ni suala lisilotakiwa,na vigezo vyako vyote vya kutotoa pongezi ni hivyo ulivyosema hapo juu????Au mrengo tofauti kidogo mpaka yale mema ya serikali inayoongozwa na CCM huyaoni??
Uliandika unataka kuuliza "swali" na siyo "maswali"!Chagua moja kati ya hayo nikujibu mkuu.
 
Yeah nitaelezea mkuu
Sawa tunasubiri. Ila kwa kusisitoza tu as long as hujasema nini kinatakiwa kupongezwa basi hauna uhalali wa kutaka watu wapongeze kwaiyo acha kulazimisha pongezi, kwa ambae anaona hakuna pongezi zinazopaswa kutolewa basi ni wajibu wako kumwambia kwanza nini kipongezwe.
 
Watu wanaelewa nachosema nadhani ni wewe tu sababu unahitaji kuleta hoja kinzani ndio unasema hivyo. Lakini watu wote wanaelewa naposema pongezi ziende kwa serikali.

Ni vitu ambavyo vipo wazi kabisa mdau ila nitaelezea kwa undani ucjali. Karibu kwenye mada
 
Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.

Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Watu wenye low Iq ndyo watakuelewa tu.!!
 
Ni kweli. Kuna mambo madogo madogo yamerekebishwa. Nikiwa mdogo tulipoteza karibu siku nzima barabarani tunasubiri kumpokea katibu mkuu Horace Kolimba. Siku hizi hayo mambo hayapo
 
Watu wanaelewa nachosema nadhani ni wewe tu sababu unahitaji kuleta hoja kinzani ndio unasema hivyo.Lakini watu wote wanaelewa naposema pongezi ziende kwa serikali.Ni vitu ambavyo vipo wazi kabisa mdau ila nitaelezea kwa undani ucjali.Karibu kwenye mada
Watu gani wanaoelewa? mpaka thread ya 13 karibu wote hawakubaliani na wewe. Kwanini CCM mnapenda kuwasemaea watu? kuna mwenzako anaitwa lucas nani sijui humu ndani yeye ni kila siku kuwasemea watu mara vijana mara wakulima kama vile hayo makundi yamempa cheo awe msemaji wao.

Acheni hii tabia ya kuwasemea watu mkitoa hoja zenu kama ni kupongeza fanyeni ivyo wenyewe individually
 
Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.

Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Aliyezaliwa 50 na 60 hawezi kuipongeza ccm sana sana atailaani
 
(Umasikini,Maradhi, na Ajira) .

Kuna Mafanikio Fulani yaliyoletwa na CCM kwa miaka hiyo 60, lakini ukiyalinganisha na umri wake na ukubwa wa chama chenyewe ni sawa na kusema hayalingani.

Kuipongeza CCM kwa kutimiza wajibu wake kikatiba hakuna haja, pamoja na kuwa wao hupenda sana hilo la kupongezwa.

Lakini Pale penye Mapungufu hapana budi kubebeshwa lawama kwa kushindwa kwake kuwaletea matarajio wananchi kama walivyowaahidi na kutarajiwa.

Tanganyika na Singapore walipata uhuru karibuni sawa sawa, walipishana miaka au miezi tuu.

LAKNI tOFAUTI YA MAENDELEO IMEKUWA KUBWA MNO.
WAKATI TANGANYIKA INA RASILIMALI NYINGI MNO KULIKO SINGAPORE WAO HAWANA CHOCHOTE.
HIVI NDIO KULINGANISHA
 
(Umasikini,Maradhi, na Ajira) .

Kuna Mafanikio Fulani yaliyoletwa na CCM kwa miaka hiyo 60, lakini ukiyalinganisha na umri wake na ukubwa wa chama chenyewe ni sawa na kusema hayalingani.
Kuipongeza CCM kwa kutimiza wajibu wake kikatiba hakuna haja, pamoja na kuwa wao hupenda sana hilo la kupongezwa .
Lakini Pale penye Mapungufu hapana budi kubebeshwa lawama kwa kushindwa kwake kuwaletea matarajio wananchi kama walivyowaahidi na kutarajiwa.
Tanganyika na Singapore walipata uhuru karibuni sawa sawa, walipishana miaka au miezi tuu.
LAKNI tOFAUTI YA MAENDELEO IMEKUWA KUBWA MNO.
WAKATI TANGANYIKA INA RASILIMALI NYINGI MNO KULIKO SINGAPORE WAO HAWANA CHOCHOTE.
HIVI NDIO KULINGANISHA
Ndicho ninachomwelekeza mzee wangu hapa( maana kama alikwepo miaka ya 60 atakua amekula chumvi kimtindo). Darasani maksi za ufaulu ni 50/100 maana yake wataopata chini ya hapo wamefeli sasa mzee wangu anataka tumpongeze mwanafunzi aliepata 5/100 kwa sababu hajapata 0 kabisa
 
Narudia tena kiwango cha maendeleo ya CCM. By 1961 Mji wa Dar 80% planned 20 squatter.

By 2020 baada ya miaka 60 Mji huo huo 10 Planned na 90 squatter. Hii ni kuonesha Upande wa Ardhi na Mipango miji CCM imefeli.
 
Nimevuta kumbukumbu tangu naanza kuifahamu Tanzania kuna haja ya vijana kupata elimu ya tulipotoka. Hii nchi ni kubwa na tunazaana kweli. Japo serikali imekuwa na mapungufu mengi lakini kwa huu uzi wako na mm kwa leo "NAIPONGEZA CCM"
 
CCM , miaka 60 baada ya uhuru ,bado inaogopa Raia wake na kutokuwaamini kwa kusema kuwa hakuna Kiongozi anayeweza kupewa kuiongoza nchi hii, vyama vyote ni wahuni watupu , hii inamaana ndio matunda ya Kile walichokipanda.

Yaani CCM hakuwaanda watanzania kuwa Watawala wa Nchi yao, Elimu waliyowapa ni Ujinga mtupu AU sio Maana yake?
 
Nimevuta kumbukumbu tangu naanza kuifahamu Tanzania kuna haja ya vijana kupata elimu ya tulipotoka. Hii nchi ni kubwa na tunazaana kweli. Japo serikali imekuwa na mapungufu mengi lakini kwa huu uzi wako na mm kwa leo "NAIPONGEZA CCM"
CCM imefeli kuweka Mfumo mzuri wa Kutawala Tanzania na Kugawa Maendeleo Kwa Usawa.
Mabadiliko yote yako kwenye Miji mikuu tuu.

Hadi leo Kuna Vijiji na wilaya haziwezi kufikika kwa ukosefu wa Bara bara na mipango ya Miundo mbinu. Serikali inaishia Kuimarisha Dar es salaam tuu na Dodoma na Mwanza na Arusha.

Muundo wa Majimbo ingeliisaidia nchi yetu kupata maendeleo kwa haraka ,lakini CCM wanawaogopa Raia wao.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom