Get Lost Arusha =Lema=Arusha. Msihangaike na huyo Mgambo wenu!! mtaaibika bila kifaniIkiwa ni miezi michache kabla ya kura ya kumchagua mbunge mpya wa Arusha mjini CCM imeanza kujidhatiti vyema katika jimbo hilo ambalo inalitamani kwa muda mrefu.
Wananchi pia wanaonekana wanaunga mkono kutokana na kuchoshwa na Mjelajela Godbless Lema ambaye amekua akitumia Ubunge kupata umaarufu wa kisiasa bila kutatua kero za wananchi.
Tatu nawapongeza wananchi wa Arusha kwa kumuachia msalaba wake na wananchi wanaendelea na shughuli zao na mahakamani wanaonekana ndugu zake tuu!
Upo Serious Mkuu au ndio mizaha imezidi hata kuiuza haki yako sio shida? Yesu wa Nazareti nani ataweza msimamisha?Km hajataka hajisimamishi Yeye nani wa kumsimamisha?Na akitaka simama nani Atamzuia?CCM Arusha hata wamsimamishe Yesu wa Nazareti watashindwa tu!!!
Nilionyesha tu msisitizo; you know what i mean😉😉😉.Upo Serious Mkuu au ndio mizaha imezidi hata kuiuza haki yako sio shida? Yesu wa Nazareti nani ataweza msimamisha?Km hajataka hajisimamishi Yeye nani wa kumsimamisha?Na akitaka simama nani Atamzuia?
Sema Chadema, usijifiche nyuma ya UKAWA.Huyu hawezi kushitakiwa kwa uchochezi. Ila atokee mtu aseme kwamba UKAWA wanajiandaa kwa uchaguzi...
Lema mwenyewe hupenda kukaa jela,sijui sababu ana historia ya uhalifu?inawezekana sana tu CCM waka engineer lema kufungwa ili jimbo liwe wazi..Very Possible
Huko mnakoelekea sasa siko. Nyie endeleeni tu na michango yenu ila hii comment achana nayo kabisa asije kukukasirikia na wewe ukakosa kikaoCCM Arusha hata wamsimamishe Yesu wa Nazareti watashindwa tu!!!
Wakitaka walete pikipiki 5000 tunachukua halafu hatuwachagui kwa nini walamishe watu kupenda kitu kibovu?Bodaboda tuko 5000 pikipiki mmewapa 200 sisi 4800 mnatuachaje? mkiitisha uchaguzi Arusha sisi 4800 tutachagua CHADEMA tuonr kama hao 200 mliowapa pikipiki watawapa ushindi.
Na mshikilie hapohapo ili muendelee kunufaika.kweli hizo pikipiki ni utangulizi,CCM wanatumia udhaifu au mapungufu wa hali harisi.Lakini Arusha sio kazi rahisi,labda watumie bajeti nzima ya serikali.
Hatendi kwa namna unayofikiri wewe. Angekua wa visasi kwa maneno yetu na vitendo vyetu nani leo angesimama? Hata hivyo nauchukua ushauri wakoHuko mnakoelekea sasa siko. Nyie endeleeni tu na michango yenu ila hii comment achana nayo kabisa asije kukukasirikia na wewe ukakosa kikao
Ni utaratibu ule ule uliotumika kugawa million 10 kwa wabunge wa Chama.Hiyo ni Takrima kwa bodaboda, Ni rushwa, ni asante kwa bodaboda au ni nini? Walipewa kwa vigezo gani?
Hiyo ni Takrima kwa bodaboda, Ni rushwa, ni asante kwa bodaboda au ni nini? Walipewa kwa vigezo gani?
Teh teh umenichesha sana good people. eti mjelajela lema. Hakika ndio jina anastahili. Badala ya kutulia afanye kazi ya kuwakilisha wananchi wake na kusaidia kutatua shida zao ili aweze kukubalika yeye anajidai eti ni mkombozi kama mandela na kutafuta kutupwa lupango kila siku. Kwa njia hiyo ya pili anaona ndio anajipatia umashuhuri kukubalika. Akifungwa jela kwa mashtaka mengi aliyo nayo na wana Arusha kulazimika kuchagua mbunge mwingine itabidi watafakari sana kama inafaa kumchagua mjelajela mwingine.Ikiwa ni miezi michache kabla ya kura ya kumchagua mbunge mpya wa Arusha mjini CCM imeanza kujidhatiti vyema katika jimbo hilo ambalo inalitamani kwa muda mrefu.
Wananchi pia wanaonekana wanaunga mkono kutokana na kuchoshwa na Mjelajela Godbless Lema ambaye amekua akitumia Ubunge kupata umaarufu wa kisiasa bila kutatua kero za wananchi.
Tatu nawapongeza wananchi wa Arusha kwa kumuachia msalaba wake na wananchi wanaendelea na shughuli zao na mahakamani wanaonekana ndugu zake tuu!
Na mshikilie hapohapo ili muendelee kunufaika.
Mkuu;
Walipewa kwa sababu CCM ni chama chenye maumivu saana wanapoona mlala hoi yeyote akiwa na shida. Ndo maana wamezitoa hizo kidogo tu, nyingine 3000 zaja na tiyari advance imeshatolewa. Tunaomba mpeni ushirikiano MG ili uongozi wake uweze kuwasaidia. Acheni roho mbaya