Tetesi: CCM inajiandaa na Uchaguzi mdogo Jimbo la Arusha mjini

Tetesi: CCM inajiandaa na Uchaguzi mdogo Jimbo la Arusha mjini

Ikiwa ni miezi michache kabla ya kura ya kumchagua mbunge mpya wa Arusha mjini CCM imeanza kujidhatiti vyema katika jimbo hilo ambalo inalitamani kwa muda mrefu.

Wananchi pia wanaonekana wanaunga mkono kutokana na kuchoshwa na Mjelajela Godbless Lema ambaye amekua akitumia Ubunge kupata umaarufu wa kisiasa bila kutatua kero za wananchi.

Tatu nawapongeza wananchi wa Arusha kwa kumuachia msalaba wake na wananchi wanaendelea na shughuli zao na mahakamani wanaonekana ndugu zake tuu!
Get Lost Arusha =Lema=Arusha. Msihangaike na huyo Mgambo wenu!! mtaaibika bila kifani
 
Hata CDM waweke jiwe afu nyie mumuweke Gambo, Jiwe litashinda...Hii sio Dodoma Joh!
 
CCM Arusha hata wamsimamishe Yesu wa Nazareti watashindwa tu!!!
Upo Serious Mkuu au ndio mizaha imezidi hata kuiuza haki yako sio shida? Yesu wa Nazareti nani ataweza msimamisha?Km hajataka hajisimamishi Yeye nani wa kumsimamisha?Na akitaka simama nani Atamzuia?
 
Upo Serious Mkuu au ndio mizaha imezidi hata kuiuza haki yako sio shida? Yesu wa Nazareti nani ataweza msimamisha?Km hajataka hajisimamishi Yeye nani wa kumsimamisha?Na akitaka simama nani Atamzuia?
Nilionyesha tu msisitizo; you know what i mean😉😉😉.
Kama Lema alichaguliwa ile dec/2015 wakati JPM akiwa hot kiasi kile, basi hata CCM wamlete mtu wa kaliba gani wasipo iba kura hawashindi ng'o!
 
CCM Arusha hata wamsimamishe Yesu wa Nazareti watashindwa tu!!!
Huko mnakoelekea sasa siko. Nyie endeleeni tu na michango yenu ila hii comment achana nayo kabisa asije kukukasirikia na wewe ukakosa kikao
 
Bodaboda tuko 5000 pikipiki mmewapa 200 sisi 4800 mnatuachaje? mkiitisha uchaguzi Arusha sisi 4800 tutachagua CHADEMA tuonr kama hao 200 mliowapa pikipiki watawapa ushindi.
Wakitaka walete pikipiki 5000 tunachukua halafu hatuwachagui kwa nini walamishe watu kupenda kitu kibovu?
 
kweli hizo pikipiki ni utangulizi,CCM wanatumia udhaifu au mapungufu wa hali harisi.Lakini Arusha sio kazi rahisi,labda watumie bajeti nzima ya serikali.
Na mshikilie hapohapo ili muendelee kunufaika.
 
Huko mnakoelekea sasa siko. Nyie endeleeni tu na michango yenu ila hii comment achana nayo kabisa asije kukukasirikia na wewe ukakosa kikao
Hatendi kwa namna unayofikiri wewe. Angekua wa visasi kwa maneno yetu na vitendo vyetu nani leo angesimama? Hata hivyo nauchukua ushauri wako
 
Hiyo ni Takrima kwa bodaboda, Ni rushwa, ni asante kwa bodaboda au ni nini? Walipewa kwa vigezo gani?

Mkuu;
Walipewa kwa sababu CCM ni chama chenye maumivu saana wanapoona mlala hoi yeyote akiwa na shida. Ndo maana wamezitoa hizo kidogo tu, nyingine 3000 zaja na tiyari advance imeshatolewa. Tunaomba mpeni ushirikiano MG ili uongozi wake uweze kuwasaidia. Acheni roho mbaya
 
Ikiwa ni miezi michache kabla ya kura ya kumchagua mbunge mpya wa Arusha mjini CCM imeanza kujidhatiti vyema katika jimbo hilo ambalo inalitamani kwa muda mrefu.

Wananchi pia wanaonekana wanaunga mkono kutokana na kuchoshwa na Mjelajela Godbless Lema ambaye amekua akitumia Ubunge kupata umaarufu wa kisiasa bila kutatua kero za wananchi.

Tatu nawapongeza wananchi wa Arusha kwa kumuachia msalaba wake na wananchi wanaendelea na shughuli zao na mahakamani wanaonekana ndugu zake tuu!
Teh teh umenichesha sana good people. eti mjelajela lema. Hakika ndio jina anastahili. Badala ya kutulia afanye kazi ya kuwakilisha wananchi wake na kusaidia kutatua shida zao ili aweze kukubalika yeye anajidai eti ni mkombozi kama mandela na kutafuta kutupwa lupango kila siku. Kwa njia hiyo ya pili anaona ndio anajipatia umashuhuri kukubalika. Akifungwa jela kwa mashtaka mengi aliyo nayo na wana Arusha kulazimika kuchagua mbunge mwingine itabidi watafakari sana kama inafaa kumchagua mjelajela mwingine.
 
wasahau boda hizo kutoa ars ni sawa kuchukua kijiko cha maji na kumwaga baharini.bora wangepeleka kwenye mikoa maskini.pole ccm.mnapoteza mda.
 
Jecha kupiga marufuku kampeni chaguzi ndogo zote kama uchaguzi wa marudio Zanzibar?
 
Mkuu;
Walipewa kwa sababu CCM ni chama chenye maumivu saana wanapoona mlala hoi yeyote akiwa na shida. Ndo maana wamezitoa hizo kidogo tu, nyingine 3000 zaja na tiyari advance imeshatolewa. Tunaomba mpeni ushirikiano MG ili uongozi wake uweze kuwasaidia. Acheni roho mbaya

Katika Mikoa yenye shida zaidi nchi hii Arusha haipo.
 
Back
Top Bottom