Tetesi: CCM inaorodhesha walimu wazalendo

waingie tu huko lakini 2020 kura kule.
wacha wale vya wajinga!!
 
Siasa Ni akili Na mbinu

Mngekuwa mnaa Akili mngewaambia Walimu wote wajiandikishe Kwenye hiyo data base ili Kama Ni favor Basi wapate wote Au wakose wote

Sasa nyie mnaleta hayo Malalamiko Hapa tusikitike wote Au tuwasaidie kuwapa mbinu mbadala

Subirini mtaona matunda ya hizo siasa zenu "za akili". Kama mnadhani mtu anaenunuliwa hubagua mnunuzi sawa; msije tu kuanza kulialia na kuomba mshikamano kutoka kwa watu "wasio na siasa za akili". Unaposema "huyu ni mwenzetu" unakuwa at the same time umesema - indirectly- kuwa "wale si wenzetu". Subirini kidogo tu; hakuna rangi mtakayoacha kuiona.
 
Usihamishe magoli tunajadili data base ya Walimu Wazalendo Iringa, toa ushauri wako Kwa Walimu
 
Kama Wewe Ni Mwalimu Mzalendo jiunge Kwenye hiyo data base Tatizo liko wapi?
popoma za lumumba ni shida sana yaani wewe binti mumeo atakuwa anapata taabu sana kukuelewa
 
waingie tu huko lakini 2020 kura kule.
wacha wale vya wajinga!!
Hapa ndipo tunapopotelea-ccm hii imeshasema haiwezi kundoshwa kwa kura-bahati mbaya hata wale wanajifanya kuichukia ccm wameshindwa kuuelewa ukweli huu? Hivi mnadhani PhD holder like magufuli hajui umuhimu wa katiba nzuri kwa nchi yetu VS ndege na STR?kama hatutafuta njia nyingine ya kuyachiulia makaburi mbali-kura mtapiga sana
 
Walimu Tanzania ni punching bag.
Labda kwasababu ya wingi wao na kwamba hawashiki bunduki kama askari.
Maana askari asiye na cheo ana maslahi nafuu kuliko hata maslahi ya mwalimu wa TGTS D .
Hapa nazungumzia mshahara na posho zingine ukikusanya pamoja.
 

Hivi mpaka leo BAKITA na Wataalam wa Lugha ya Kiswahili nchini wameshindwa kutafuta neno sahihi la Kiswahili la ' Data ' hadi sasa liwe linatumika hivyo hivyo kwa Lugha ya Kiingereza?
 
Maradhi yanaweza kuanzia ndani kuja nje ya mwili na mengine yanaanzia nje kwenda ndani ya mwili. Ninauhakika humo watajiorodhesha pia watakaokitafuna chama tokea ndani kuja nje
 
Mungu wangu mungu wangu
 
Eti PhD my foot!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…