Tetesi: CCM inaorodhesha walimu wazalendo

Umenikumbusha kimbunga cha PERESTROIKA
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wangekuwa wameelewa dhana ya kula kwa mama.... Kulala kwa Baba. Zamani sana ccm ingekuwa ishatoka madarakani.
 
Kwan tatizo lipo wapi kujiunga kwenye kanzi data lakini umbo la ndani ni mpinzani!

Ishi kinafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 

please dis is a serious issue, can you come up with some vivid cases.
 
popoma za lumumba ni shida sana yaani wewe binti mumeo atakuwa anapata taabu sana kukuelewa
Akisha pigwa mkuyati anatulia na kueleweka, hivyo Ukiona ujue siku nyingi bilabila
 

Mkuu jiorodheshe tu ili tupate inside updates kutoka jikoni!!
 
Miaka miwili ya uenyekiti wa Mzee meko vituko ni lukuki kuliko kipindi jingine chochote tokea 1977.
Nadhani hata mwanzilishi huko aliko wenzake kina Mandela, Samora, Sokoine nk wanamcheka kuwa watoto wako BM na JK walifundwa, ila mjukuu wako Meko ni kituko
 
Kama kuna kada iliyojaa watu-nyumbu nchi hii basi ni Walimu
Juzi kati, memba mmoja wa jf aitwae nzagamba aliandika katika makala yake moja na akaeleza kuwa karibia asilimia 90% ya Wa-Tanzania ni wale ambao elimu yao ni duni (ataniweka sawa) nami nikamuunga mkono kuwa, katika mambo ambayo ccm imefanikiwa tangu kuwepo madarakani ni kuwafanya asilimia kubwa ya watanzania kuwa mbumbumbu.
Endapo kweli uzi uliotelewa ni wa kweli, kuwa mkoani Iringa waalimu wananaandikishwa ili walio na walio wazalendo wafahamike, na waalimu wanakubaliana na hilo, Basi Hii itakuwa ni hatua mojawapo ya kudhirisha yale niliyokuwa support kwa nzagamba na pia juu ya usemi wako huu kuwa kuna nyumbu wengi huko.
Uzalendo ni vitendo na siyo orodha wala kitambulisho.
Na ualimu ni tasnia, lakini inakejeliwa sana na wana siasa wa ccm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata vijana waliokosa mikopo ya kusomea polepole aliwaagiza waende lumumba wakajiorodheshe majina yao. Huenda walisaidiwa kupata mikopo!
Litakuja lingine huko mahosptalinj kuwa ili utibiwe kadi ya bima uionyeshe sambamba na kadi ya ccm ndipo upate matibabu sahihi! Hii ni hatari kubwa na wanaobuni hizi mbinu ni chakubanga na dr wetu mpya kwani naye kawageuka walimu wenzake. Ama kweli adui wa mwalimu ni mwalimu!
 
Ukweli ni kwamba adui wa maendeleo Tanzania ni CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…