Tetesi: CCM inawaka moto kwa ndani, siku si nyingi yataibuka makubwa

Kumbe sikihizi ukweli ni majungu kwa ccm
 
Sasa huo wako ni uchokozi au uchochezi? maana Brazil sasa katika kombe la dunia imekuwa ni shamba la bibi.Salute accepted my Jr. brother!
 
ANAONGEA KI CHEMACHADEMA, NA YASIYOFIKIRIKA
 
Lumumba hirizi zinabana kuliko mikanda wanayovaa,mwenyekiti hana uwezo wa kuongoza ni kinyonga anabadilika rangi kila akiguswa panapouma
 
Mmh umeshindwa kumshauri mbowe aachane na cuf sasa unaanza kufanya kazi ya shekh yahaya
 
Eee mungu sikiliza vilio vya watanzania kwa kuliangamiza zimwi lililojipachika jina la CCM..
 
Hii nayo ni tetesi tuu kama tetesi zingine.............!!!!!!!!!!!!🙂🙂🙂🙂
 
umetumwa na............................................ ilikulipiza kisasi cha..................................... na kwa taarifa yako wote mmepanga tu................................ na nwisho wenu n............................................................................. poleni sana
 
Yani pamoja nakuhusiwa kote bado anaendelea na hujuma? kweli sikio lakufa halisikii dawa sasa mlimpokeaje huko upande wa pili kwa mbwembwe na vifijo na leo mnaulizia habari za upande wapili?
 
Uhuru wanalipwa malimbikizo yao ya muda mrefu. Kazi ya gazeti ni kuifanya kazi ya kuelezea kwa undani malengo ya chama. Ule ni ujanja wa hali ya juu sana, unaanza na morali ya wahusika wa gazeti mengine yanafanywa kitaalam na hao hao ambao malipo yao yamefanyika.
 
RAIS MAGUFURI WANYOOSHE TU..!/
HAKUNA NAMNA INGINE/ WALISHA ZOEA VYA KUNYONGA/ KANDAMIZA MWANI-WANE...
 
Mwenyekiti hawezi kushindwa kufanya kaz katika chama kwani nchi ilikuwa pabaya kutokana na watu kutokuwa waadilifu.lkn kwa sasa Tanzania katika mstari.sihivyo bali kafanya yafuatayo kwa kipindi cha mwaka mmoja.1.kaondoa watumishi hewa.2.kainua pato la taifa.3.kaondoa wanafunzi hewa.4.kanunua ndege2.5.madawati shuleni yapo.6.katoa duty allowance kwa walimu wakuu 7.elimu Bure ngazi ya awali hadi kidato cha nne ipo. 8.kasawazisha huduma za Afya muhimbili hosp. 9.katoa fedha za kusaidia Mahakama.10.kaweka sawa mambo bandari ya dar. We sema tu kama unalako jambo na Ccm lkn kwa jembe letu mim sina shaka mile tu.
 
***
Ni lazima mnyooke kama ruler hakuna namna./
magufuli ni rais wa kitaifa/ popote pale patanyooka tu./ hata chato,ndani ya ccm au nje au upinzani hakuna jinsi ni "MWENDO WA RULER TU"
 
Moto wa ndani kwandani utadhibitiwa tu, kw vile magari ya washwasha na yale ya fire yatatumika kwa pamoja kunusuru hali hiyo kabla ya kuleta athari. CCM ni wazoefu
Hii ina maana CCM ni ya wachache wa utawala huu na wanajiona wana upeo wa kufikiri kuliko wengi waliopo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…