Tetesi: CCM inawaka moto kwa ndani, siku si nyingi yataibuka makubwa

Ccm haiwezi kutoboa chaguzi tatu zijazo. Mnaodhani ccm itaongoza maisha mnajidanganya. Nasubiri mziki wa 2020 kwanza!
 
Lumumba wanahaha kuongea na mwenyekiti ika jamaa hasikii la kuambiwa
 
Ha

Hayakuhusu bibi
 
Acheni unafiki wanalalama si sababu ya kuua demokrasia,wala matumizi ya mali za chama hapana kabisa.CCM hawajawahi kukuza demokrasia ndani ya chama na nje ya chama,hawana historia hiyo tokea kuundwa kwake hadi sasa.Ni kwamba Mh raisi kawanyanganya tonge mdomoni,sasa wanahaha sababu ya kufunga mianya ya ufisadi.CCM walioizoea kula bila kunawa sasa hakuna imefutika,iliopo ni CCM hapa kazi.
 
CCM gani hikihiki ninachokijua MM au KINGINE kipya ???...........
 
Mkuu unamaanisha Mwenyekiti wa CCM au ulitaka kumuongelea Katibu Mkuu wa CHADEMA? Hivi yupo?
 
Mianya ya pesa imeminywa lazima walalamike chezea magu
 
Propaganda za ufipa utaziweza!! hamna lolote hapo...mmemaliza uchambuzi dhidi ya bombardier..sasa mmehamia ccm, Magufuli sio saizi yenu..hangaikeni na professor, Ngosha ni wa kimataifa.
Nahifadhi jina lako katika kitabu cha kumbukumbu,ntakurudia pindi muda utakapowadia.
 
Siku wakijua ccm ni genge la wezi linalojivika utakatifu kuwakwapua watanzania.......

Ndipo mtaanza kudai haki zenu kote ndani ya ccm na nje hapo ndipo itakuwa mwisho wa ccm.........
Tatizo yanayodai hizo haki unazosema , ni mafisi. Mara nyingi Mafisi huwa ni mabemdera fuata upepo. Yanafuata ulaji unakopeperukia, ni machumia tumbo. Hata kwa umoja wao na zengwe wanalotaka kumfanyia Magu, hawamuwezi, atawalamba panga waishe, na akiwafyeka, chama pendwa kitasalimika, maana ni wepesi kama bua.
Huu ubaya na uhalifu unaofanywa ndani ya vyama vya siasa kuhujumu pesa za waliowengi, ni dondandugu lililotamalaki sana kwenye vyama vyote. Tunataka viongozi madikteta watakaochukua hatua madhubuti kunusuru vyama vya siasa nchini.
Mwisho wa siku tupate chama chenye viongozi waadilifu kuweza kuliletea maendeleo taifa hili.
 
Hivi mtoa mada kweli, mbona sijawahi kukusikia hata siku1 unamzungumzia Mimvi?
Umwamba wako wote wa kujenga hoja ulimalizwa na nini?
Ama nawewe mzee "ulitulizwa"? Tuambie ukweli na msemakweli ni mpenzi wa Mungu.
 
Haiwezekani!!.Ni miezi miwili tu tangu wanachama wote 100% wamempitisha kuchukua kijiti. Kwa takwimu za 100% ndani ya chama hakuna asiemkubali
 
Siku wakijua ccm ni genge la wezi linalojivika utakatifu kuwakwapua watanzania.......

Ndipo mtaanza kudai haki zenu kote ndani ya ccm na nje hapo ndipo itakuwa mwisho wa ccm.........
CCM kama chama kimeshakufa zamani. Hiki kinachoitwa CCM leo ni chama dola, au chama cha dola. Siku vyombo vya dola na taasisi zake zikitumika kidola na sio kichama, wapiga kura na vyama vya upinzani vitasukuma mlevi tu. Mlevi na mg'ang'anizi wa madaraka aliyejipa kazi ya kuwagawia wadanganyika umasikini na ahadi hewa.
 
Mleta huu UZI bila shaka utakuwa Kada wa UKUTA,na hapo umegonga mwamba ndg CCM ni chama kikuu 60yrs ahead
 
Kichekesho!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi ulikumbuka hata kusoma ulichokiandika?? Ama umepost tu alimuradi umeingiza siku??
Naona leo umetuunganishia na VoIP humo humo ili kuongeza manjonjo kwenye bandiko lako..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bavicha mna mambo...
Anyway it's good lakini angalau umetuongezea siku za kuishi kwa kutupa burudani ya kichekesho chako...

Am watching you... na jinsi unavyokaukiwa na mada za kuandika...
Slowly but sure unaendelea kufifia kama moto wa bua...
I gave you until mid 2017 utakua umeisha kabisa... hutosikika tena maana udaku udaku wote utakua umekuishia...
By 2019 i ll bring you a proposal, hard to swallow but too tempting to let go...
And coming 2020 i will make use of you in my divide and destroy quest...
Unakipaji kizuri cha kutumika, si vibaya nikakutumia...
 
ugomnvi wao mkubwa ni pesa za chama kupewa lipumba badala ya maendeleo kibaya kinachowakera ni hiyo pesa kupewa January moja kwa moja badala ya kupitia kwa viongozi wachuje matumizi vizuri, pesa nyingi inatumika kudhoofisha Ukawa badala ya kuimaarisha chama na Madalali wa siasa ndani ya CCM wanapiga pesa kuliko viongozi wenyewe hata miladi ya kuvuruga vyama mfano CUF kwa sasa wanakula Wajanja wachache wengi wamebakia kuwa mashabiki tu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…