CCM inaweza kutupatia kiongozi mwingine mwenye uthubutu kama Hayati Magufuli?

Na Yale yanayoonekana unayazungumziaje

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
JITU KATILI, JITU LIUAJI, NUNDA MLA WATU.

JITUKATILI LA ROHO ZA WATU

JITU LENYE VISION KALI , jitu linalosabbaisha hata nyie na viongozi wenu wote hamjakaa ndan ila mliendelea kufanya kazi bila tatizo lolote
 
Hao mliowanunua na kuwafanya Mawaziri si Siasa hiyohiyo lengo ili kuwa ni kiua Chadema sio na sisi lengo lilikua kuichinja CCM.

wala usizunguke mti, lowasa mlimpokea hamkumpokea? haya maneno mlisema hamkusema?
 
Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
Viongozi wenye uthubutu wapo wengi tu Ila hatutaki VICHAA kama Magufuli. Uthubutu ni uwezo wa kufanya MAAMUZI CHANYA na kuyatetea.

Magufuli alikuwa na UTHUBUTU wa kufanya MAAMUZI ya HOVYO na kuyatetea kwa MAGUVU na pengine mpaka kuua wwnaompinga. Mfano wa MAAMUZI ya HOVYO ya Mwendazake ni kuingilia biashara ya KOROSHO na kujenga Airport yenye runway ya kimataifa kijijini kwake Chato
 
Magufuli alikuwa na IQ kubwa sana... sharp in decision making ... humdanganyi kirahisi
Hakuna kitu pale. Nimesoma Mkwawa na Magufuli yeye akisoma Maths na Chemistry na mimi Physics na Maths plus Teaching.

Mnamkuza sana Mwendazake siyo mtu mwenye akili kihivyo. Ni just average yaani can be a "C" student not "B".

Alichonacho yeye ni ujasiri tu wa kufanya mambo kinyume na kwa uharibifu. Hata alivyofukuzwa Makoko Seminary akiwa Form 2, ni kwamba alimtongoza Sista wa Kanisa Katoliki na siyo kwamba eti alivunka dirisha kama ilivyoripotiwa.

Tusimpime Rais SSH kwa kiwango cha Mwendazake, huyo alikuwa ni FAILURE na LAANA kubwa. Tumshukuru Mungu kwa kumfurusha mapema maana tungefika hata 2023, tungekuwa the WORST country economically.
 
Maono gani? ......
-kukifanya Kijiji cha Chato kuwa jiji?
-kupiga watu risasi?
-kuteka watu?
-kupora fedha za watu?
-kupendelea watu wa kanda yake?
Kutekeleza ndoto za Taifa letu tangu enzi za baba wa Taifa kwa:
1. Kuhamishiz makao makuu Dodomà
2. Kujitosheleza kwa umeme kupitia mradi wa Stigler's Gorge al aafufu kama bwawa la mwalimu Nyerere la kufua umeme.
3. Kuwa na reli standard gauge.
4. Kujitegemea na kuachana na unyonyaji wa mabeberu.
5. Kuimarisha uchumi kwa kuimarisha ukusanyaji wa kodi!
6. Kuachana na kujikomba kwa mabeberu!

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe!! Pamoja na kuwaheshimu marais wote waliomtangulia, lakini hatujawahi kuwa na Rais jasiri mwenye uthubutu na imani ya maendeleo kama JPM!! Haiwezekani kumbeza na akabezeka mioyoni mwa watanzania walio wengi!! Sana sana ukimbeza unajikuta umebezeka mioyoni mwa watu!! Huu ndio ukweli!! Hata kama hayupo, ni vigumu sana kumpiga vita ukashinda!! Kinyume chake utajiondolea imani kwa watanzania!! Alishatufungua macho, hakuna mwingine awezaye kutufumba macho!! Asante Mungu wetu wa mbinguni kwa kutupatia JPM kwa wakati muafaka!! akamaliza kazi kwa wakati na ukampumzisha!!
 
Wa hivyo akirudi tena dawa yao ni ndogo sana, ni kuwashusha futi sita tu mchezo unaisha na maisha yanaendelea mbele.

Zama za kuabudu machifu anayekupora hata mke huku ukitakiwa kumsujudia zilipitwa na wakati na Magufuli ilitakiwa azaliwe zama hizo ndio angeishi na kufunga karne kabisa lakini sio leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…